KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote
5.petroli,matunda,nazi
6.vitumbua,mitumba grade one
7.supu ya utumbo,mabati,vocha
8.mtego wa panya,pembejeo
9.makabati ya nguo,kompyuta
10.juisi na mbogamboga
11.mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12.leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNI!!!!!!!
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote
5.petroli,matunda,nazi
6.vitumbua,mitumba grade one
7.supu ya utumbo,mabati,vocha
8.mtego wa panya,pembejeo
9.makabati ya nguo,kompyuta
10.juisi na mbogamboga
11.mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12.leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNI!!!!!!!
hahahahahahha kaka Mithupu umenivunja mavu nafwa kwakicheko
ReplyDeleteyani hiyo inaitwa msetoo
Huo ni uchokozi tuuu, mtabakia kusema wenzako wanaendelea... mnabaki kusema wanaiba, wanaiba wapi... akili inafanya kazi
ReplyDeletePoleni sana
Amakweli, Hii ndio supermarket yenywe. Forget about Mlimani City.... Keep it up Mangi...
ReplyDeletetukiomba mtutangazie vitu vya maana tupate ushauri mnabania ila ujinga kama huu mnatoa,ndio nini sasa,mimi sijafurahia chochote na wala hakuna kitu najifunza
ReplyDeleteMbavu zangu weeeeeeeeeeeeeeeeee, hahahahahahhahahahahhahahahahahahah.
ReplyDeleteJamani wengine tumepiga desh mchana mtatu-tapisha upepo badala ya iyo pilau na msumari juu
aisee meku bwashehe kiboko nimecheka hadi nimepaliwa supu ya utumbo mabati na vocha
ReplyDeleteumesahau viatu, kandambili za mkapa a.k.a kandambili za O.K.
ReplyDeleteyaani nimecheka mapaka nimemaliza ya kesho. wee anon wa 08,07:14:00 PM acha kubisha haisaidii sana. hatupo enzi zileee.. ambapo hata raisi hamjui kama amegombana na mkewe. hao jamaa ni wezi wazuri tu sina haja ya kusema mengi hapa sio mahala pake... thanks for the nice one mich.
ReplyDeleteNilikuwa sijacheka tokea asubuhi! lkn kwa hili tangazo la biashara mbavu sina! kaka mithupu ulijuaje km kuna watu hatukucheka tokea asb? athante
ReplyDeleteAnony hapo vp wewe? SO mean kwa vya watu! Cheka ufarijike. Busara hadi kaburini?
ReplyDeleteSijafurahi-Who cares?
Kujifunza-Nenda shule ama anzisha blog yako
Ya maana-Toa wewe kwenye blog yako
Hii ni blog ya jamii acha kama ilivyo
ZE Mbavu Zanguuuuu!! Wabishi wapo tu! Walalamishi wapo tu! Anon wa 2, 4..Acheni kuwa serious kiivyo, take it easy, lough at a joke and Move on! Mtazeeka siku si zenu na mastress yenu ya kujitakia!
ReplyDeleteHa ha haaa Michuzi asante.
ReplyDeletejamaniiiiiiiiii kweli mbavu sina aliyebuni hii anapaswa kuwa kwenye the commed
ReplyDeletenimecheka saana haki ya nani mangi kiboko duh
ReplyDeletewee cheka siye twaendelea kule rombo hii inasaidia sana kupunguza safari za kwenda Moshi mjini...ingawaje price utakayolipa hapo usishangae na roho yako....hujaona ONE STOP SHOP before? Hehehhe mimi nimeshaona duka wameandika mlangoni if u don't c ask. we have everything we just run out of space..
ReplyDelete