NI DAKIKA YA 35 AMBAPO ROBINHO TENA ANAFUNGA BAO LA PILI BAADA YA KROSI YA BASTOS ILIYOMKUTA MFUNGAJI NDANI YA 6.
MPIRA KWA KWELI NI MTAMU, NA INGAWA WANATUFUNGA LAKINI CHENGA TWAWALA ILE MBAYA. MRISHO NGASSA NA NSAJIGWA WAMEKOSA MABAO YA WAZI NA UWANJA UNAFURAHIA KUONA VIJANA WANAFIKA HADI KWA KIPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2010

    Mie nacheki ngoma live hapa:

    http://www.atdhe.net/20083/watch-tanzania-vs-brazil

    Faraja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...