Nizar Khalfani a Taifa Stars akipelekana puta na Kaka katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika neshno jipya jijini Dar jioni hii
Uhuru Selemani (kulia) akichuana na beki wa Brazil, Maicon

NI MAPUMZIKO NA BRAZIL BADO
INAOGOZA 2=0 DHIDI YA TAIFA STARS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2010

    http://www.ilemi.com/5684/1/Watch-Tanzania-vs-Brazil/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2010

    ESPN sports Live Tanzania vs Brazil pia kwenye intaneti http://atdhe.net/20083/watch-tanzania-vs-brazil.

    Ngasa anaonekana mwiba kwa ngome ya Brazil, ingawa sasa mapumziko Brazil 2 Tanzania 0. Robinho ameipatia Brazil mabao yote mawili.

    Sasa timu zote zimeshaingia uwanjani kuanza kipindi cha pili.

    Refa na washika vibendera wanakagua nyavu na wachezaji ili kipindi cha pili kianze.

    mpira umeanza. Lucio, Kaka, Maicon, Robihno, kipa Gomez kwa Brazil wapo ktk line-up, Nsajigwa, Hamud, Ngassa, Mgosi, kipa Mwarami ni baadhi ya walioanza kwa Taifa stars

    Mdau
    jijini london.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2010

    Dakika ya 53 Brazil yaongoza 3 kwa bila,Mchezaji Raminez aliyeingia toka benchi aipatia Brazil bao la 3.

    Mdau
    jijini london

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2010

    Kaka sema Brazili 3 Taifa stars 0. Kwa wenye internet unaweza angalia mechi hii moja kwa moja (live) toka bongo via www.watchlivefootystream.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2010

    Dakika ya 57 Ngassa anaingia ndani ya 18 lakini anakuwa mzito wa maamuzi. Dakika ya 58 Nizar anapiga shuti lakini linapaa juu ya goli la Brazil.

    Nsajigwa anaambaa na mpira na kupatiwa mpira wa adhabu ndani ya mita 20 toka langoni mwa Brazil, lakini mpira wa adhabu unatoka na kuwa goli kiki.

    Kigi Makasi na Nizar Haroub wanatolewa na nafasi zao kuingia David Naftali na John Bocco.

    Dakika ya 65 mtazamaji mtanzania anaingia ndani ya uwanja na kuleta taharuki.

    Dakika ya 66 Ngasa anaingia ndani ya boksi na kupiga kiki kali inayomfanya golikipa Gomez wa Brazil kuitema na kuidaka tena.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2010

    tumefungwa ila game si baya sana. ila nashangaa nilikuwa naona vyombo vya habari vinatoa picha za watu kupanga mistari mirefu kwa ajili ya ticket lakini hapa ndani naona viti havijajaa kabisa orange side iko wazi sasa tatizo lilikuwa utaratibu wa kuuza au ticket zilikuwa chache. du noma,
    mdau SK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...