Home
Unlabelled
dawasko-mtu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal....hapo wapi? India, Bangladesh au Haiti!!? kweli vipaji vinazidiana! Khaaaaaa!
ReplyDeleteHahahahahahah.....kweli huyu Dawasko -mtu hahahahahah. Nimecheka sana asubuhi hii. Kuna watu wana vitimbi duniani sijawahi kuona hahahahahaha. Viini machoooooo......!
ReplyDeleteJamani ni nimecheka!!!!!!!!!!!hahahhahahahah!!kweli vipaji vipo si mchezo!!!
ReplyDeletehahahaha 111 hahahah hhhhhahahaaa mmh speechless
ReplyDeleteGood one indeed... but idea ya kutembea na dawa pamoja na mswaki inamaana jamaa anapiga mswaki siku nzima au sio? I'm sure angefaa sana kwenye commercials za toothpaste... hajapata channels tu
ReplyDeleteAfana aleik... wallahi miujiza. lakini ni mazingaombwe tu.
ReplyDeleteHuyu mtu angefaa aletwe Dar na awe maeneo ya kinyerezi ambako wachina wametandika mabomba na miaka inakatika bila maji. naona akianza huyu jamaa basi wachina na dawasco yao watazinduka na kutuletea maji rasmi