Mix Master & Old Skul King DJ Luke


Mambo yote july 4th weekend ni Minnesota,pati ya Boti,kata tiketi mapema usije ukajutia,kama unakumbukumbu ya zile pati za OHIO,wakati wa mermorial weekend,au DC,wakati wa labor day weekend,basi hautasita kukwaa pipa na kuelekea miji mapacha,kama upo jirani aaah ndugu yangu usisite kuchoma gari moto,
mambo yanaanzia tarehe 2 July ijumaa,kwa Dj Luke kutoka DC kukupa ile kitu roho inapenda,address,
MARRIOTT HOTEL,DOWNTOWN MPLS,
30 SOUTH,7TH STREET,
MPLS,MN,55402
Jumamosi ni Rumba ndani ya Boti na Dj Luke kutoka DC,
Address,From 7:30pm-1:00am
525 SOUTH MAIN STREET,
STILL WATER,MN,55408
Jumapili ni ULTIMATE SOCCER BONANZA,Stars United,Houston(Serengeti Boyz),Uganda(The Cranes) naWenyeji Minnesota Stars na kama wewe ni mpenzi wa BBQ usisahau TOOTHPICK,Nyama ni za kumwaga,Address,From 2:00pm-8:00pm,
DRIFTWOOD PARK,
2705 5TH STREET,NW,
NEW BRIGHTON,MN,
Baadae ni Farewell Party From 10:30pm-3:00am,
MARRIOTT HOTEL,DOWNTOWN MPLS,
30 SOUTH 7TH STREET,
MPLS,MN,55402
kuikosa Boti pati hii ni kosa la jinai!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    Jamani hebu tuandike kiswahili sahihi. Hii kumwaga lazi ndio nini? Ni bora ungetumia neno burudani. Kiswahili ni lugha yetu sasa inakuwaje tunakosea mara kwa mara. Cha kusikitisha hata magazeti yetu ya kiswahili siku hizi utaona kwamba yanakosea kuandika lugha yetu isivyo sahihi. Kabla ya kutuma ni vyema tukarudia mara ya pili je ni sawa ili DJ Luka akafanye vitu huko katika MKUSANYIKO WA DIASPORA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...