Watangazaji maarufu Maulid Kitenge wa Radio One Stereo na Gerald Hando wa Clouds FM mara baada ya kuwasili jijini Durban huko Sauzi tayari kwa kushuhudia mpambano wa Brazil na Ureno siku ya Ijumaa.
Maulidi Kitenge akiwa katika kusaka Mavuvuzela. Anasema madude haya bado yanauzika
kama njugu huko Sauzi tena kwa bei poa tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2010

    Mzee wa Tonge

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2010

    Yafaa sana tuwe tunafanya homework yetu vizuri, hasa kuhusu hali ya hewa popote tuendapo nchi za mbali za kigeni!

    Huko Sauzi sasa ni wakati wa majira ya baridi; kuwasili huku tumevaa viatu, kama hivyo vya mwenzetu, haifai!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2010

    gerald mbona umekuwa mkondefu? huli? ile nyimbo ya mr 2 acha tuuu niletee vuvuzela la njano

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2010

    hahahaaaa mdau no 2 kanifurahisha kweli.sasa BONGO jua mwaka mzima huyo kitenge anafikiri na south africa ndo ivo ivo nini.kaazi kweli kweli.
    Mdau-ukerewe!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2010

    Mie mwenyewe nimejiuliza hizi sandoz na baridi, lakini nikajipa moyo kuwa labda wako ndani ya hoteli hawajatoka nje...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2010

    Gerald Hando naomba sana uniletee japo vuvuzela la kijani please. Mdau.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 24, 2010

    maulid umechemsha sana jamaa yangu wabongo huwa tunajifanya wazungu

    ReplyDelete
  8. Durban afadhali kidogo kwa baridi huku cape town na sandal wakati huu nikujitesa tu vuvuzela shoprite ndo ubwete R 10 tu unapanda kubwaa Angalia usije ukavimba mdomo manake linastaili zake za kupuliza kama hujui unavimba mdomo

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 24, 2010

    Shule muhimu mdau no 2 umenifurahisha na hapo ndo mwanahabari hajui kwenda na wakati....maanaa jamaa katia sandoz na baridi hii hata wakaa ulaya wanaisikia

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 24, 2010

    Na kweli wakati huu baridi Kitenge yeye anakufa na tai shingoni sijui kithungu kianapanda hapo au kibubu kununua vuvuzela...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 24, 2010

    aiii kwani wangapi wametua uko?

    maana naona hawa tu ndo wanauza nyago umu!!
    phew!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 24, 2010

    Duuu!! Wabongo kwa kuchonga ni balaaa!!

    Mbona mnashambulia Kitenge tuu, hamuoni huyo dada nyuma ya Gelard kavaa t-shirt, na watu waili nyuma ya kitenge wamevaa pensi na thendoz..may b hamna barid kama mnavyodhani. by the way style ya nguo ni uhuru wa mtu binafsi.

    Gelard,Kitenge na wabongo mlioenda huko mvaa bendera za TZ basi mtuwakilishe , Bila shata Dunga akiona atakumbuka kagoli tulikomgongoli Taifa!!

    Mdau-Gogolamboto

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 24, 2010

    yaaah, Ni bizuri watu wajue hali ya hewa kwa kweli nimemwona Kitenge nikajua labda yuko hapo Maryland Mwenge au Break Point anakunywa supu. Lazima muonekano wako wenyewe ukae ki-mpiorampira pia.
    Suzi ni baridi mno. Hao jamaa waliovaa pensi wao wametoka manchi ya baridi kwa hiyo hiyo ya sauzi ni kama kipupwe tuu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 24, 2010

    Nyie wabongo msipende kushambulia watu bila sababu za msingi,kwani kitenge mwenyewe hajipendi mpaka avae hivyo? ni kwamba si kila sehemu huko sauzi kuna baridi, kuna sehemu hakuna baridi kiasi hicho kama mnavyoona kwenye tv,ni kama hapa bongo ukienda Arusha au Iringa miezi hii ni baridi lakini ukiwa dar au Tanga hakuna baridi ki hivyo na huko nako ni hivyo hivyo ,so inabidi muelewe si kila sehemu huko sauzi kuna baridi kali kama mnavyofikiri.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 24, 2010

    Wabongo kwa kuchonga duh ndio jadi yao huwezifahamu kama hapo alipo ni hotelini au wapi nevertheless kuvaa nguo au viatu ni choice ya mtu sasa unataka hata kama akiwa ndani avae viatu acheni hizo msipende kuongea ili mradi tu muonekane mmeongea kuna wale jamaa wawili nyuma yake wanaonekana wamevaa kati ya sketi au kaptula sijui na hapo mtasema nini.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 25, 2010

    Acheni wivu wa kitoto!!!! yaani hakuna la maana mliloliona zaidi ya mtu kuvaa sandals???? Kama mtu huna la kuchangia NYAMAZA

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 25, 2010

    huyu ndio Gerald Hando?!!! , kumbe handsome hivi ...is he taken already brother Michuzi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...