+akipokea+tuzo+ya+hadhi+ya+nyota+nne+toka+kwa+Mh.+Mwangunga.jpg)

Hatimaye Wizara ya Maliasili na Utalii imezipatia hadhi ya NYOTA hoteli za Tanzania ambapo 66 kati ya hotel 99 zilizokuwa kwenye kinyang'anyiro zimepata hadhi ya nyota kwenye ngazi mbalimbali.
Huku the Kilimanjaro Hotel Kempinski, Movenpick Royal Palm Hotel and Sea Cliff Hotel, wakiibuka na hadhi ya nyota 5 mahoteli mengine kumi yakiibuka na hadhi ya nyota nne (Four Star) nayo ni Golden Tulip Hotel, New Africa Hotel and Casino, Paradise City Hotel, Protea Hotel and Serviced Apartments, Southern Sun Dar es Salaam, Saadani Safari Lodge, White Sand Hotel, Giraffe Ocean View, Hotel Harbour View Apartments na Kinasi Mafia Hotel.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo Mkurugenzi wa Giraffe Ocean View Hotel Dr. Charles Bekon amesema kuwa hayo ni mafanikio ya kujivunia kwani Hotel yao ina muda mfupi na hasa ukizingatia ushindani mkubwa wa biashara ambapo sekta ya Mahotel hasa ya kitalii imekamatwa na wageni.
Hata hivyo Dr. Bekon ametoa shukrani za dhati kwa watanzania wote wanaowaunga mkoni na kusisitiza kuwa pamoja na kupokea wageni wengi toka nje bado soko la ndani ni kubwa na linamchango wa kutosha.
Kwa upande wake Mheshimiwa Mwangunga alisema zilitumika 250milion shilingi za kitanzania kufanikisha zoezi hili huku wizara yake ikichangia Millioni 85 na Wizara ya biashara kupitia kitengo cha Tanzania Trade Integration Project wao wamechangia Million 176/-.

Kwanza naipa Hongera sana Giraffe Ocean View Hotel kwa kupata hadhi hiyo lakini seriously mpaka Golden Tulip Hotel imepata same star.Hivi huwa wanatumia vigezo gani?Maana Golden Tulip kusema kweli imekufa,the quality of the hotel is very low.
ReplyDeleteIt just makes me think do they really deserve these stars.
SIKUJUA milioni 176 + milioni 85 ni milioni 250....kazi kweli hapa!
ReplyDeletehakuna kitu kabisa. Tanzania hasa Dar-es- salaam hakuna kabisa Hotel ambayo unaweza kusama ni Four au Five star. hata hao kempyski na movenpink ni just Quality Hotels- yaani ni business and Leisure basi. viwango vya Nyota vina endana na mambo mengi sana na wala si jengo kubwa tu eti ndio kigezo hapana. Ni hivi kwanza hotel ili iwe na STAR ni Lazima tangu mwanzo wakati unajenga uwe na hilo walo la Hiyo nyota unayo itaka. Kama wewe unataka Hotel ya Five star huwezi ukaibadiri baadaye ukubwani kuwa Five STar kwa urahisi. Ndio inawezekana lakini mpaka ubomoe na kubadili size hasa vyumba na uongeze huduma kadhaa kulingana na hiyo star unayo itaka. Sasa kwa Dar-es- Salaam ni kwamba Hotel kama kempiski hapo Dar ni vigumu sana kuiita Five star, kwani nini ? kwa sababu wao hawakuijenga na hilo wazo hata kidogo. inawezekana ikawa na huduma zimeongezwa lakini Property yenyewe haikubadilika hata kidogo. Giraffe nimeiona kwenye Picha ni nzuri lakini si Four Star hii ni holiday Hotel tu. Ni hotel ya mapumziko na wala si business and Leisure. huo mjengo wake wa Apartments ni kwa soko la watu wengi yaani " Mass -market" haina Luxury yoyote. Nikizirudia hotel zote zilizo pata Nyota nitazivua hizo nyota zao. Halafu hizi nyota kumbuka huwa zina kuwa-re-visited yaani wachunguzi wana chunguza tena kila baada ya miaka mitano hivi.
ReplyDeleteHivyo hotel hapo tanzania -Dar kuwa hasa na nyota ni jambo gumu mpaka mtu tangu Mwanzo ajue ni nyota ipi anataka kujengea hotel yake na facilities zipi ataweka ndani na wala si jengo kubwa tu. Labda ile kempiski ya serengeti ina weza kuwa nyota tano Resort lodge.
Wtih regards to Hotel Star ratings, the catergorisation of the rating system is based on facilities and services offered by the establishment. For example a one star hotel usually implies that basic accommodation is provided, whilst maybe bathroom and toilet facilities are shared by guests. Whilst a five star hotel, it is expected that there is 24 hour room service, gym facilities, etc. In addition, to plush interior, individual bathroom and toilet facilites etc Kindly note, universal ratings have not been implemented. Hence, Dubai has even a Seven Star Hotel. Kindly note, this star rating is used as a marketing tool, which benefits the hotel and customer. Hence, the customer immediately knows what the minimum levels of service and facilities, he/she expects from the hotel prior to actually visiting the hotel. I hope this information helps. Kindly note, it is not a competition !!! It is purely the classification of a hotel, which will advance the hotel industry in Tanzania, by increasing the standards of services and facilities offered by hotels, in addition, to facilitaing attracting more guests to visit hotels in Tanzania. Hence, making it easier for hotel and tour operators who operate in external markets to sell the hotel products more easily.
ReplyDeleteTatizo nyie watu mnajifanya kujua sana na hampendi ku appreciate vitu vya nyumbani.
ReplyDeleteWapongezeni tuu kila kitu mnafananisha na ulaya.
Hongera Giraffe