
Mimi naitwa Lisungu David Kambona ni mwandishi wa habari picha yangu hiyo hapo juu napenda kuwapongeza wanablogu wote tanzania especialy Legend wetu ankal lakini leo tarehe kumi na tatu mwezi wa sita na timiza miongo miwili na ushehe hivi nawashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wamenisadidia kufika hapa bila kuwasahau wazazi wangu na dada yangu neema kambona
vilevile nitakuwa mchoyo wa fadhila nisiopo washukuru Fullshangwe.blogspot.com na issamichuzi.blogspot.com wanalibeneke wenzangu kwani wananipa changamoto katika kazi
tembelea:
ukitaka kunipongeza live piga 0713153348
asalam alekhum
asalam alekhum
Jamaa anaishi Australia, visiwa vya Fiji, Tokyo, ama wapi? Maana inaelekea yuko kwenye different 'time zone' na tulio wengi.
ReplyDeleteWengi wetu leo ni tarehe 12. O6. 2010. Yeye tayari yuko tarehe 13. O6. 2010.
Anyway, Hepi Besdei to Yuu.
happy birthday mkuu
ReplyDeleteKAMA SIKOSEI MIONGO NI CENTURY, YAANI WEWE UNA UMRI WA MIAKA ZAIDI YA 200?
ReplyDeleteacha ushamba wewe hapo juu, muongo mmoja ni sawa na miaka kumi na hiyo century yako unayoongelea kwa kimatumbi inaitwa karne! Nafikiri umeelimika kiasi!
ReplyDelete