JK, Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda pamoja na Waziri wa Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Celina Kombani wakiingia katika ukumbi wa Zamani wa bunge kwaajili ya mkutano uliowajumuisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya uliofanyika mjini Dodoma jana na leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo

Makatibu wakuu wa wizara mbalimbali (mstari wa mbele)
nao walijumuika na wakuu wa wilaya na mikoa katika mkutano huo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    ongeeni mambo ya maana na muyatekeleze msaidie watu ambao hata wanashindwa kupata mlo.Eleweni maisha magumu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2010

    Mnakumbuka 'Semina Elekezi'????? yale yale!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...