Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za Mwisho kwa marehemu Millie Benjamin Mengi huko Machame, Moshi jana mchana. Marehemu Millie Benjamin Mengi ni mke wa Bwana Benjamin Mengi ambaye ni mdogo wa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi.Anayefuata nyuma ya Rais Mwenye tai nyekundu ni Bwana Benjamin Mengi mume wa Marehemu.
Hapa na chini anaonekana Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Millie Benjamin Mengi huko Machame,Moshi.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    Pole Bonita, Nina. Mungu awape nguvu, ndio maisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...