*Kikwete asema sababu za kumpa jukumu ni rahisi kumpata
*Awaomba madereva kutokwenda kasi wakati wa kuomba wadhamini
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete , Ridhiwani Kikwete amekabidhiwa mikoba ya kutembeza fomu za kusaka wadhamini katika mikoa 10 nchini akishirikiana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Baraza la Kuu la Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) na wanafunzi kutoka Vyuo Vikuu nchini.
Kwa mujibu wa chama hicho ni kwamba Ridhiwani ndio atakuwa mwenyekiti wa kamati hiyo akishirikiana na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Beno Malisa ambao watawaongoza vijana wngine 32 kuzunguka katika mikoa hiyo ambayo imegwanywa katika kanda nane ikiwemo Kanda A ya Dar es Salaam ambayo kiongozi wake ni Ridhiwani pia.
Tukio la Ridhiwani kukabidhiwa fomu za kuomba wadhamini lilifanyika Mjini Dodoma leo mchana, baada ya rais kukamilisha tukio la kuchukua fomu asubuhi ambalo lilifanyika Makao Makuu ya CCM na kasha kufuatiwa na kukutana na wadhamini 250 wa Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza mbele ya Rais Kikwete , Katibu Mkuu wa UVCCM, Maltin Shigela alisema vijana hao ambao viongozi wa jumuiya, makada na wanachama makini watazunguka katika maeneo hayo ambapo kila mkoa wanatakiwa kupata wadhimini 250 na hiyo inatokana na kwamba mgombea wao kutokana na majukumu kuwa mengi hivyo hataweza kutafuta wadhimini yeye mwenyewe.
Alisema katika mgawanyo huo wa kanda kila kila itakuwa na vijana wanne ambao watashirikiana kuhakikisha wanalifanikisha suala hilo kwa wakati lakini pia kwa umakini mkubwa.Wakiwa huko maeneo ya mikoani watapata ushirikiano mzuri kutoka kwa wanachama.
“Katika kutafua wadhamini, chama kimeamua kutoa jukumu la kufanya kazi hiyo kwa vijana wetu wachama nkutoka jumuiya yetu lakini pia tunao wasomi kutoka vyuo vikuu vyote nchini ambapo walipatikana kwa utaratibu maalumu.Mwanzoni walikuwa 90 lakini tumeamua hao 32 ndio watafanya kazi hiyo,”alisema Shigela.
Kwa mujibu wa taratibu za chama Rais Kikwete aliamua kukabidhi fomu hizo kwa Ridhani ikiwa ndio ishara ya kuanza safari ya kwenda huko mikoani kwa ajili ya kutafuta wadhamini hao.
Rais Kikwete akizungumzia sababu za kuamua kumpa fomu Ridhiwani ili ashirikiane na vijana wenzake, alisema sababu kubwa inatokana na kwamba akimpa Ridhiwani itakuwa rahisi kuwasiliana naye na atakapomuhitaji itakuwa rahisi kumpata tofauti na mtu mwingine.
Alisema kazi ya kuomba wadhamini ni kubwa na inahitaji muda wa kutosha na kwa muda alionao sasa na majukumu yaliyopo mbele yake ndio maana ameamua kuomba vijana hao wasomi kuifanya kazi hiyo ambapo anaamini itafanyikla vizuri kwa sababu vyuo vimefungwa.

mambo ya kina Clinton na bush haya !! hope mmenielewa wazalendo !! tutakika kweli
ReplyDeleteRIDHIWANI TUNAKUSUBILI KUCHUHANA NA NABII YOHANA MASHAKA. RAIS WA2015 KWA HIYO KAMA UNAANZA KAMPENI LEO HII, YEYE NI MUSOMI WA MUZUMBE NA ALISHAANZA KAMPENI ZAMANI SANA. UNAJUA HAWA WATU WA MUZUMBE WASOMI KAMA MASHAKA, JK, HASHEEM NA MICHUZI NI WATU WAJNJA SANA. WAPO MEBLE ZETU KWA KARNE KADHAA KWA HIYO NA WEWE INABIDI UENDE KULE CHUO CHETU KIKUU CHA KULE MOLOGOLO UKAPATE DIGILII YA UCHUMI ILI UMSHINDE NABII 2015 HETI. YULE MUTOTO NI MAKINI SANA, KWA HIYO INABIDI UANZE KUJIFUNZA SELA ZA DHIDHIEMU MAPEMA TU, MIMI YANGU TAYALI KWA SABABU MIMI NDIO WAZIRI WA UCHUMI 2015 KWENYE SEREKARI YA MASHAKA WA MUZUMBE NA SHAYO WA WEST BANK UNIVESITY
ReplyDeleteChama kimegeuka Kingship...
ReplyDeleteAnkal you know what??!!!. Unapoweka maoni yetu kupini unakuwa haumsaidii mjadiliwa bali unakuwa unammaliza kabisaa. Kwsababu sisi tunasema ukweli pale tunapoona hapajaenda sawa kwa mjibu wa maono yetu,ili awamu ijayo aweke mambo sawa zaidi, hata yeye mwenyewe analijua hilo na kulipokea kwa mikono miwili.Tunampenda ndiyo maana tunampa huo ushauri,ni kwa uzuri tu Ankal.
ReplyDeleteTo me, it looks like 'Introduction to Biology'!
ReplyDeleteThe approach used by his excellence is no doubt a rational because to get a needed number of sponsors, and feedback of what is goin on in the whole process,ya need to have the closest person you can get;here comes is son who happens to be an active young talented politician of our time.
ReplyDeleteDUH!!!! HUYO NDUGU PETER NALITOLELA KWA KWELI INABIDI ARUDI DARASANI.
ReplyDeleteJK katudanganya kuwa kumpata Rizi ni rahisi kuliko mtu mwingne,ina maana watu anaofanya nao kazi daily wanamzingua linapokuja suala la mawasiliano. mfano hiyo kazi angenipa mimi jana pale ddm sidhani kama ningemyeyusha kimawasiliano.
ReplyDeleteumepotea njia Rais wangu hata mfanyeje hapa si zanzibar,umetawala wewe kwa kuwaficha mafisadi huyo mwanao unapoteza muda tu na ataishia huko huko CCM wanakofuata upepo. tushajua janja ya nyani rais mzima eti sbb ni raisi kumpata. we ni raisi bana yeyote yule ukimtakaatapatikana kwa wakati. SASA WEWE MISOOP NA WEWE UBANE HII MAANA TUSHAKUSTUKIA NA WW UNAFANYA KAMPEN HUM GLOB YA JAMII
ReplyDeleteHuyo Mkware Miraji Kikwete, aliyeoko nyuma ya Ridhwan, ameoa? Anaonekana yuko cool sana. Ameoa?
ReplyDeletewana nchi wa tanzania ni ma cowards !wazalendo walisha kufaga! ujinga kama huu nchi kama kenya au ... wawawezi kukubali ujinga !! uncle kamau uko wapi ?? boss michuzi usinibanie hila mimi na uchungu wa nchi yangu na watu wanaogopa kuongea ukweli tunapo kwenda sipo!!watalamu na wasomi awataki kurudi nyumbani nchi hinabaki kutawaliwa na mafisadi !!
ReplyDeleteTHIS NEWS IS VERY GOOD.First comes family for such important job.It is a very wise decision.Wish you all the best.CCM needs patriots not traitors.
ReplyDeleteYale Yale ya viongozi wa kisiasa kutoka kutawala nchi kama family business yao.
ReplyDeleteBaadaye huyu Ridhiwani naye atakuja kugombea urais wa Wadanganyika.
"NEPOTISM" is my greatest fear!
ReplyDeletemdau wa kwanza na kupata, kuhusu ankal kwa kweli huwa anaboa sana hii mambo ya kubana meseji anapenda hasa mtu ukiwa muwazi kwani hii blogu ni ya mafisadi? mbona za matusi unaachia??
ReplyDeleteHere we go again, I am getting impression it is an attempt to turn a democratic republic country into a monarchy, just like what Kabila and Bongo seniours did in Congo and Gabon respectively.
ReplyDeleteWe need to be careful and very open to each other, other wise we will end up into deep trouble.
DUNIA SASA IMANI IMAKWESHA NDIOMAANA NIMEAMUA KUMTUMA MWANANGU UCHAGUZI ULIOPITA OHHH MLINIPAGA SANAAA
ReplyDeleteI am worried about country's destiny.....naona tusikae kimya...hebu tupigane jamani...hii ni hatari. Sio nnchi ya kifalme hii.Uozo namshangaaa mtoto wa MKULIMA kuwa katikati ya kundi la MAFISADI..Inaniumaaaa saaaana mjomba.
ReplyDeletehuyu kwanza hapa nauzwa, lakini muda wake ukifika, hatafulia dafu. kuna watoto wa wakulima makina kishenzi ambao hawawezi hata siku moja. huyu sidhani anaweza kupata kura hata moja akisimamishwa na mashaka john. wakulima hacheni kupiga makelele, mtayarisheni mtu wenu ili wamkabili dogo badala ya kelele, vinginevyo mtamuona anapewa ufunguo wa pale kivukoni huku mnatizama
ReplyDeleteukoo wa wanasiasa
ReplyDeletekikwete
pera
mbilimbi
nyanaya
babu
baba
mtoto
mjukuu
kitukuu
kitunguu
kikwete again.
mtake msitake jk ni raisi tu hata hizo fomu akabidhiwe nani?
ReplyDelete