Mdau mwanaharakati Peter Kazaula (kulia) akikabidhi mashine ya kuchuja maji aliyoitoa kwa hospitali kuu ya mkoa wa Kagera yenye thamani ya zaidi milioni 8 yenye uwezio wa kuchuja lita 6,500 kwa siku ambayo haitumii aina yoyote ya nishati. Anayepokea ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa hospitali ya mkoa Dr Amri Byalugaba na kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya mkoa Johansen Rutabingwa. Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba

si vibaya kukumbuka nyumbani, well done!
ReplyDeleteUmezidi kumenya comment za watu! hiv we vp???????? kama
ReplyDelete