Mchungaji Christopher Mtikila na wafuasi wake wakitoka Mahakamani
Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher
Mtikila, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, baada ya
Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali kesi aliyofungua ya kutaka
awepo mgombea binafsi.
Mtikila, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, baada ya
Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali kesi aliyofungua ya kutaka
awepo mgombea binafsi.
Kinyume na ambavyo imeripotiwa kwa haraka na baadhi ya watu kuwa Mtikilia amepoteza kesi ya "wagombea binafsi" ukweli ni kuwa Mahakama ya Rufani kwanza kabisa imetupilia mbali hoja zote zilizotolewa na serikali kukata rufaa ukiondoa hoja ya suala la uwezo wa Mahakama kutengue kipengele au ibara ya Katiba ambapo katika hilo Mahakama ya Rufani imeweka uzito wa jinsi gani jambo hilo laweza kufanyika. Hukumu hiyo ambayo unaweza kupata nakala yake hapa: http://www.box.net/shared/bhgomz2sat
Kwa ufupi ni kuwa, Nimeisoma hukumu yote..
Juu ya Hoja ya 1:
That the High Court erred in law in proceeding with the
determination of the petition without framing issues.
Mahakama ya Rufaa imeamua:
In fact, we are just being consistent with a recent decision of this Court in
Jaffari Sanya Jussa and Another v. Salehe Sadiq Osman, Civil Appeal No.
51 of 2009 (unreported) citing 17th Edition of MuIla at p. 719 which is in pari
materia with page 1421 of the 15th Edition.
We, therefore, dismiss this ground of appeal.
- Serikali imepoteza hoja ya 1
Hoja ya pili ya rufaa;
That the High Court erred in law and in fact by subjecting
the Constitution to International Instruments.
mahakama ya rufani:
So, we are at one with Mr. Rweyongeza in his reply that reference to
International Human Rights Instruments has been ordained by this Court.
We, therefore, cannot fault their lordships in any way and this ground of
appeal is dismissed, too.
Katika hoja ya pili serikali imeshindwa! -
Katika hoja ya tatu ya rufaa iliyoletwa na serikali inadai:
That the High Court erred in law by assuming legislative
powers.

Mahakama ya Rufani imeamua:
The A. G., the chief legal advisor of the Executive was to take the
necessary steps to amend the laws and the Constitution so that
independent candidates could be permitted. We are, therefore, of the
settled view that the learned judges did not clothe themselves with
legislative powers. This ground fails, too.
Hoja ya tatu ya rufaa, serikali imepoteza vile vile!!
hoja ya nne ya Rufaa ilikuwa hivi:
That the High Court wrongly assumed jurisdiction in
entertaining the Petition.
Mahakama ya rufani imeamua:
Thus the High Court of Tanzania is both for the Mainland Tanzania and for the Union on matters pertaining to the Constitution, such as the one that is the subject matter of this appeal. So, the High Court had jurisdiction to entertain the petition and ground one is dismissed in its entirety.

Hoja ya nne nayo serikali imepoteza.
Hivyo hadi sasa Mtikila anaongoza 4-0
Hoja kubwa ambayo ndio imekuwa ngumu na nzito zaidi ya kikatiba ni hii ya kuhusu kutengua Katiba:
That the High Court erred in law in nullifying the provisions
of the Constitution.
Sasa ukisoma mtiririko wa hoja za mahakama utaona kuwa wamejenga hoja kwenye msingi wa kisheria sana na kutudokeza tatizo la sheria yetu na Katiba yetu. Nitawaaacha msome wenyewe.
Lakini mwisho kwenye suala la wagombea binafsi japo wamerudisha kwa Bunge hata hivyo Mahakama imesema:
Ground one is, therefore, allowed: a court cannot declare an article of the
Constitution to be unconstitutional except where the article has not been
enacted in accordance with the procedure under Art 98(1)(a) and (b).

Na Majaji wanamaliza hukumu yao kwa maneno haya ambayo ni ujumbe mkubwa kwa wapiga kura.
However, we give a word of advice to both the Attorney General and our
Parliament: The United Nations Human Rights Committee, in paragraph 21 of
its General Comment No. 25, of July 12, 1996, said as follows on Article 25
of the International Covenant on Civil and Political Rights, very similarly
worded as Art 23 of the American Convention and our Art 21:
The right of persons to stand for election should not be
limited unreasonably by requiring candidates to be members of
parties or of specific parties.
Tanzania is known for our good record on human rights and particularly
our militancy for the right to self determination and hence our involvement
in the liberation struggle. We should seriously ponder that comment from a
Committee of the United Nations, that is, the whole world.
Kwa hiyo, magazeti mengi na vyombo vya habari vitakuja na vichwa vya habari kuwa "Mtikila ashindwa kesi" au "Mahakama yazuia wagombea binafsi" ukweli ni kuwa mahakama imefanya kile ambacho wengi wetu tulikitarajia;

kwanza, ni kutupa mbali hoja nyepesi zilizotolewa na serikali kukata rufaa na pili kurudisha Bungeni suala la wagombea binafsi ili Bunge lifanye kile ambacho kinajulikana ni haki.
Tatizo pekee ambalo mahakama ya rufani haikugusa ni suala la haki ya msingi ya wananchi kushiriki uchaguzi bila kulazimishwa kuwa katika siasa. Hili bado ni point of contention.
Naomba kuwasilisha
Mdau M.M.Mwanakijiji
INGEKUWA MTIKILA 1-0 SERIKALI, SUALA LA MGOMBEA BINAFSI LINGEENDELEA KUWEPO KAMA ILIVYOAMULIWA NA MAHAKAMA YA RUFAA NA MAHAKAMA KUU. KWA KUWA HATAKUWEPO TENA,MTIKILA 0 - 1 SERIKALI! HATA HIVYO, SUALA LA MGOMBEA BINAFSI NI LA KUUZA SURA ZAIDI, HATA KAMA WANGELIRUHUSU LISINGE KUWA NA MANUFAA YEYOTE KWA JAMII YETU, LABDA MASLAHI BINAFSI KWA HAO WAGOMBEA!
ReplyDeleteWaandishi kuweni na nidhamu kwenye kazi yenu; Hivi kweli tafsiri ya hii hukumu ni mahakama ya Rufaa imetupilia mbali maombi ya Rev. Mtikila?
ReplyDeleteHata ukiwa mvivu wa kusoma hukumu yote, ufupisho aliouweka Mzee Mwanakijiji unaenda kinyume kabisa na kauli ya "Rev Kashindwa hii kesi.!!"
Soames Phares,
Reading, UK.
kaka Ankali
ReplyDeleteki ukweli mahakama ya rufaa jana ilibadilika na kuwa jukwaa la siasa na majaji kushindwa kujibu hoja za msingi na kuwapa vigugumizi wananchi.
swali langu ni hili,Nani anaogopa hawa wagombea binafsi????mbona ni jambo zuri na safi kwa nchi inayopenda utawala wa haki na kuheshimu katiba???Mchungaji Mtikila ana hoja za msingi ambazo mahakama ya Rufaa jana walishindwa kuzijibu na kushauri eti hoja iende kwa wananchu watoe maoni wakati jambo lipo wazi...kwani ukigombea udiwani kama mgombea binafsi na ukashinda naamini wapiga kura ndio waliokuona una sera na unaweza kuwasaidia kutatua matatizo yao na wala chama unachotoka wala hakina nafasi hapa,kama swala ni hili mbona haki hii inanyimwa???
Ndani ya CCM hawalitaki hili wanajua kuwa wagombea wao watakaowakata kimizengwe kwenye kura za maoni zijazo wataamua kugombea kama wagombea binafsi na kuwasumbua,na ndio maana wakaamua kuzuia usajili wa CCJ na kuzuia hili la mgombea binafsi ili kuendeleza utawala wao wa kifashisti na wa kubebana.
Ni wazi kuwa kuna mchezo mchafu ndani ya CCM,ndio maana hata wakina Anna Kilango wanalalamika wanachafuliwa na serikali ya chama chao ipo kimya,Juzi juzi nilisikia eti Amos makala kaprinti t shirts zenye picha ya mgombea mwenzake huko jimbo la mvomero na kwenda kuzigawa ili tu kumchafua kuwa jamaa anaanza kampeni kabla ya muda ili jina lake litolewe.
Haya ni mambo ya ajabu na ni bora mgombea huyu binafsi akakubaliwa ili wananchi wapate haki ya msingi kikatiba ya kugombea na kuchaguliwa kuongoza wanachi.
VIVA MABADILIKO NA HONGERA SANA MCHUNGAJI MTIKILA NAAMINI SIKU MOJA VITABU VYA HISTORIA VYA NCHI HII VITAANDIKA HILI NA KIZAZI KIJACHO KITAENZI HAYA UNAYOYAFANYA KWA FAIFA HILI.
MDAU MAC @ MJENGONI PPF TOWER
Pamoja na maneno mengi ya kuzunguka lakini kwa lugha nyepesi mahakama imeshindwa kutimiza jukumu lake la kusema kama bunge linavunja katiba au hapana na kama inavunja uamuzi ni upi. Yote kwa yote mgombea binafsi hajaruhusiwa kwa hiyo Mtikila kashindwa, maneno mengine ni mbwembwe za lugha ambazo hazitoi uamuzi.
ReplyDeleteHii Tanzania Mpaka tuchapane tuiaeshimiana kwa sasa CCM watafanya kila watakalo
ReplyDeleteMtikila Ameshinda hii kesi. Mbona mnapotosha ukweli? Mahakama imelirudisha suala zima bungeni - huu ni ushindi Mkubwa siyo kwa mtikila tu bali kwa wana demokrasia wote.
ReplyDeletehaina maana mgombea binafsi akiruhusiwa atashinda. Jambo la muhimu ni kuwa demokrasia inakuwa imeongezewa uwigo!
TATIZO HUMU NDANI KUNA WENGINE TULIKUWA MBIONI KUTANGAZA NIA NA TUMEJIPANGA VILIVYO KAMA WAGOMBEA BINAFSI SASA HILI LA KUPELEKWA TENA BUNGENI ITAKUWAJE NA BUNGE LA MWISHO NDIO HILI LIMESHAANZA JE ITAWEZEKANA KULIPACHIKA HILI BUNGENI WAKATI HUU BUNGE HILI LA MWISHO LIMESHAANZA?WANAOJUA SHERIA HEBU NIFAFANULIENI MIMI NIKO KIUCHUMI ZAIDI SHERIA NO.NILITAKA NIPATE MOJA YA ZILE SITI ISHIRINI ZITAKAZOONGEZWA MJENGONI DODOMA NASIKIA MAFUNDI WATAANZA KAZI YA KUONGEZA HIZO SEAT SOON BUNGE HILI LIKIMALIZIKA
ReplyDeletemtikila tupo pamoja mtumishi. usikate tamaa.
ReplyDeleteWANDUGU,
ReplyDeleteSISI WABONGO WENGI TUNA TATIZO LA KUTAKA NJIA YA MKATO.
SISI SIKU ZOTE HATUWI WAELEWA WAPESI.
SISI HATUTAKI HATA KUSIKILIZA KITU KWA UNDANI NA MATATIZO YAKE NI "TAFSIRI" YA KAMA HUYO BWANA MKUBWA ANAELETA UFAFANUZI WA SHERIA KWA KADAMNASI NA KUCHANGANYA LUGHA YA HAO WENYEWE NA YETU SIE, SISI!
KIFUPI NA KIMSINGI, HAIWEZEKANI HATA KIDOGO MGOMBEA BINAFSI AWEPO KWA KATIBA YA NCHI YA SASA!
FULUSTOPU! [HICHO NI KING'ENG'E SAHIHI!]
KIFUPI, HAMNA MAHAKAMA YA NCHI YETU YEYOTE YENYE UWEZO WA KUIULIZA KATIBA!
MGOMBEA BINAFSI ATAKUWEPO PALE TU KATIBA IKIBADILISHWA!
HUWEZI HATA CHEMBE KWENDA MAHAKAMANI UDAI KATIBA IBADILISHWE!
NA NDIO MAANA HATA HIYO MAHAKAMA YA RUFAA IMETOA USHAURI KWA VYOMBO VYA DOLA [MIHIMILI MINGINE KAMA WAO MAHAKAMA] VIZINGATIE MAONI NA USHAURI WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU MASUALA YA MSINGI YA HAKI ZA BINADAMU!
NAOMBA NIWAKILISHE.
Storming
www.uksokainbongo.blogspot.com
AIBU HII KUONA KUWA MAHAKAMA YA RUFAA INASHINDWA KUTOA MAAMUZI SAHIHI NA KUONESHA KUWA AMRI WALIYOPEWA NA SERIKALI YA KUTENGUA HUKUMU YA AWALI HAITEKELEZEKI KISHERIA HIVYO IKAAMUA KUKWEPA LAWAMA NA KULITUPIA BUNGE LITOE MAAMUZI! SIJUI NANI MUHUSIKA WA KUTAFSIRI SHERIA ZA NCHI? MAHAKAMA IACHE KUFANYA KAZI KISIASA HATA KAMA WAO WAMEAPISHWA NA RAISI WANATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KISHERIA. BAADHI YAO WATAKUWA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM HIVYO WAMEJIJENGEA HUFO YA KUTOTEULIWA HAPO BAADAYE KWA UONEKANA KUWA SI WENZETU.
ReplyDeleteanon 8.27 naona unauelewa mdogo mbona unalalamika usichokijua. Nani kasema anaogopa wagombea binafsi afterall wagombea binafsi watakuja sana in years to come na kwasababu fedha ya kuchukua form itakua kubwa watakaoweza kumudu ndio hao hao wakina Lowassa watagombea kama mgombea binafsi. Let us be clear:msiwe kama watoto wadogo unalilia kitu unataka saa hiyo hiyo. Bunge kazi yake ni kutunga sheria sheria zilizopo haziruhusu mgombea binafsi sasa unataka mahakama iamue awepo mgombea binafsi iende kinyume na katiba. Yaani mahakama kazi yake sio kuiharibu katiba bali ni kutimiza yale yalioandikwa kwenye katiba. Msifanye mambo haraka haraka mkaonekana hamfikiri jamani. This is pretty simple mbona. Katiba yetu ina matatizo na chombo kile kile kilichounda katiba hicho hicho kinatakiwa kubadilisha. Kumbukeni jinsi tulivyopata mfumo wa vyama vingi. wananchi walitoa maoni yao and then the process ikaendelea. Mtindo wakubadilisha katiba ndio huo huo msifanye mambo kienyeji. Usilaumu kitu usichojua bwana aha!!
ReplyDeleteanonymous wa kwanza ana mtazamo finyu.
ReplyDeletehofu yake ni mtikila asionekane Mshindi. Badala ya kuangalia masuala husika yeye amekazania kuona Mtikila hafai.
Mtikila anajua sheria vizuri hata anapoandaa kesi zinakuwa ni kesi za akili. Mkiacha ushabiki wa kisiasa na kidini mtagundua kuwa Mtikila ni mtu makini sana!
hongera mtikila!