Balozi Maajar amepata uhamisho wa kikazi kwenda Washington, Marekani kuwa Balozi wetu mpya nchini humoi.
Dk. Shija ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania aliyechaguliwa kusimamia sekretariati ya CPA kwa miaka mitano toka mwaka 2006. Mwaka huu anatarajiwa kuongezwa muda mwingine wa miaka mitano kukamilisha utaratibu rasmi wa CPA. Jumuiya ya CPA ilifanya Mkutano wake Mkuu wa Kimataifa Mjini Arusha mwishoni mwa mwaka jana (2009).
Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Balozi Maajar alisindikizwa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania London, Bw. Amos Msanjila.
Hello Ankal tunaomba fully story ya huyo mbunge aliyewafananisha wanzake "vuvuzela" leo asubuhi bungeni...!!
ReplyDeletehee!huyu mama bado anaaga tu kazi ataanza lini sasa?naona aliipnda sana uingereza,mama nenda kazini sasa oooh!ingekuwa enzi za LYATONGA MREMA kiti chako cha kukalia pale ofisini ungekifuata ofisini kwake na kupewa siku saba kueleza kwa nini hukuwapo eneo lako la kazi muda wa kazi,hao wenzio wanaokusainisha vitabu wako kazini ohooo!
ReplyDeleteHongera sana Mama tutakumiss sana. Mungu akabariki huko uendako
ReplyDeleteSAMAHANI WADAU KUULIZA SIO UJINGA NA HUYU BALOZI AMOS MSANJILA AMEOA? NAOMBA JIBU TAFADHALI
ReplyDeletemwenzio kwenye zile picha za juzi alivyokuwa na full white nilizoom picha nikachunguza vidole vya amos naona havina pete, kaka tunaomba utupe jibu tafwadhali im a sigle lady
ReplyDeletemdau canada