Salam Ankal,
Ningependa kuwapatia wadau wote fursa ya kuona mahojiano ya Mh Dr Kamala na wadau wa hapa Ukerewe Kuhusiana mtanzamo wa jumuia ya Africa mashariki na maslahi ya Tanzania.
Ningependa kuwapatia wadau wote fursa ya kuona mahojiano ya Mh Dr Kamala na wadau wa hapa Ukerewe Kuhusiana mtanzamo wa jumuia ya Africa mashariki na maslahi ya Tanzania.
Pia Mh Kamala aliwahakikisha kutolewa kwa ushuru wa vifaa vya kutengenezea video na filamui kwa ajili ya kuendeleza kiwanda cha kutengenezea filamu. Pia Dr Cleopa kutoka chuo kikuu cha mjini Kusoma alikuwepo mada kuhusu mtazamo wa wabongo kwa ujumla. Mkutano huu uliandaliwa na TA Reading ukiongozwa na Mwenyekiti Mh Banduka.
Asanteni
Libeneke oye!
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative

Good stuff...this is what you get watu wakifanya kazi zao vizuri. Thanks Urban Pulse Team.
ReplyDeleteSoames Phares,
Reading, UK.
endeleeni kusifiana ujinga tu... urban pulse + LOVELY GAMBLE completely rubbish waste of time....maneno mengi,kuuza sura movie mbovu za wabongo tz nzuri mara million....mmekaa mnaandaa movie zaidi ya mwaka ndio mnakuja na utumbo huo.PRODUCER,EDITOR u have very very very long way to go.
ReplyDeletepunguzeni maneno/kuuza sura jifunzeni na makosa mliyofanya.hao waliowazunguka kama wanawadanganya hio movie mmepatia KALAGHABAO.
MR MICHUZI....THIS IS UGLY TRUTH....A VERY BITTER PILL TO SWALLOW.MSG SENT.
Tabu ya watu wa Reading kutanguliza sifa mbele ukweli nyuma..hiyo hafla ya kamala iliandaliwa na Banduka??nani amefanya kamala aje Reading???kwa nini uweke jina la mtu ambaye hajui hata kamala amekujaje!!!!!!!Urban pulse punguzeni maneno fanyeni kazi kurekebisha kasoro ya £OVELY gamble...
ReplyDeleteKwanza KAMALA hakuletwa na BANDUKA. Aliletwa na WAZIRU MKUU ili aje kusema nafasi ya TANZANIA iko wapi NDANI ya EAST AFRICAN COMMUNITY. Kuhusu kuja READING that was out of COURTESY from the EMBASSY. Kwahiyo Usitake kutuyeyusha. Halafu hizo kazi za URBAN PULSE, kazi yao was not far from the worse, but U don't gotta rub they face on it. Kama unajua kuna point za kuimprove, it's important to emphasize so they can improve rather than critisize.

ReplyDeleteKwa mtindo huu naona safari ya Watanzania kufikia ndoto zao ni ndefu sana maana iko hatua 5 nyuma. Sikuona sababu ya Serikali kuingia gharama kuja kuelezea nafasi ya TZ katika EAC kwa watu wa UK. To me is Unnecessary expenses na hizi ni kodi za wazazi wetu ambao hawana hata pension baada ya kutumikia nchi na hufa maskini. Mwenye kutaka kujua hayo arudi nyumbani. Kwanza katika mawaziri waliochemsha ktk serikali huyu yumo na ni Kihiyo maana hiyo Dr bado hajapata ndio anasoma mzumbe..Huyo Dr Cleopa ...mbona naye mwanafunzi jamani ...watanzania tunapenda majina makubwa fo nothing ..were not honest and trustworth at all and this is costing us alot.
ReplyDeletepole sana kama kimekung'ata,haters wako kila mahali.The good thing is ,mnatufanya tuwe strong.Tukisikiliza ya watu hata nguo hatutavaa,wewe ndie ulie mbalihatua (5) hata umuhimu wa serikali kukuthamini km mtz hujui pole.
ReplyDeletewewe unaejiita M'TZ IN UK usilete michosho,we na wenzio waganga njaa tu,ndio maana mnajiunga na CCM huko mkifikiri mtapata connection mkija bongo,aibu ni kuwa wote ni ma-BOGUS tu hata hao akina MH KAMALA washawashtukia hakuna kitu hapo,njaa tu.hao wenzio sijui URBAN PULSE wachovu tu maneno mengi,na serikali inawatolea ushuru kwa hio kazi mbovu kabisa ya lovely gamble??kazi ipo.
ReplyDelete