Awali ya yote Wasalaam.
Kwa ufupi, pamoja na pongezi kwa timu yetu ya Taifa kujitutumua kwa goli moja kwa matano, nimesikitishwa na UZEMBE WA POLISI WETU KUSINZIA WAKIANGALIA MPIRA HADI SHABIKI AKAPENYA KWENDA KUMKUMBATIA KAKA ikiwa ni msisimko na upenzi wa michezo baada ya kushindwa kujizuia kufanya hivyo.
Polisi wetu wa FFU walimkaba kijana yule na kumweka chini ya ulinzi kana kwamba yeye peke yake ndiye mkosaji.
Ilinishangaza na inanishangaza polisi wa Tanzania huwa wanalinda wakiangalia mpira. Ukweli ni kwamba, kwa nchi za wenzetu, polisi huwa wanalinda, wakiwa wanawaangalia mashabiki, WAKIUPA MGONGO MCHEZO UNAOENDELEA KANA KWAMBA WAO HAWAJUI KINACHOTOKEA UWANJANI. Lengo ni kuwalinda wanaocheza na mashabiki wao. Hapa kwetu ni tofauti.
Ninachoelewa mimi, kama polisi anaelinda geti la benki na mlango wakaruhusu majambazi wakaingia benki kwa jaribio la kuiba (bila wao kujua au kuhisi), huwa walinzi wote wanawekwa rumande, then wanafuata wafanyakazi na watu wengine.
Maadam serekali ya jamhuri ya muungano ilikuwa pale uwanjani (Kwa maana ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na msafara wake na wajumbe wengine wa kimataifa), ni ukweli usiofichika kwamba, Raisi angeweza akajeruhiwa na mashabiki na polisi wasione kwakuwa wanaangalia mpira. Vivyo hivyo, hata mchezaji kaka angeweza akajeruhiwa na ingeichafulia sifa nchi yetu kwakuwa mchezaji KAKA IS A THREAT TO OTHER COUNTRIES PARTICIPATING IN THE WORLD CUP AND HE COULD HAVE BEEN A TARGET OF HIS ENEMIES WHILE IN TANZANIA.
OMBI NA FUNZO KWA VIKOSI VYA ULINZI.
1.0 Kama watampeleka shabiki yule mahakamani, polisi waliokuwa wanalinda usalama pale uwanjani nao inabidi wapelekwe mahakamani ili haki itendeke kwakuwa hawakutimiza wajibu wao kutoa ulinzi kwa raia.
2.0 Kwa mechi zote zitakazofuatia, polisi wasimame kuuzunguka uwanja, wakiwaelekea mashabiki, siyo wakiangalia mpira na kuzungumza.
Naomba kuwasilisha hoja,
Mdau Rajupal:

Nakuunga mkono kabisa Rajupal. Niliwahi kukaa jirani na polisi mmoja. Naye kila mara alipokuwa off na kuna mpira uwanjani, basi alivalia sare za kazi na kwenda huko kama vile yuko kazini. Kumbe ni kwenda kula na kuangalia mchezo.
ReplyDeleteusiwe mshamba na mjinga kijana usilolijua bola usi post!!!
ReplyDeletekilichotokea jana hata hapa Ulaya ni common saana .
Source
ReplyDeletehttp://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/world_cup_2010/8728004.stm
The Tanzanian Football Federation are facing a big financial loss after a poor turnout to see Brazil beat Tanzania 5-1 in a friendly on Monday.
Fans were put off by record entrance fees ranging from 25-180 US dollars to see the world's best team.
The Tanzanian Football Federation (TFF) hoped to raise about US$3m and cushion an estimated US$2.5m used to secure a friendly against the Brazilians.
But the 60,000-seater stadium was only half-full for the evening game.
The match fee paid to Brazil triggered a debate in Tanzania with some people questioning the rationale behind a poor country spending massively on a single match.
This forced the government to come clean on the matter, saying it had contributed nothing to the costs.
"Inviting Brazil was the TFF's responsibility," the minister of sports George Mkuchika said.
"They have taken a bank loan, which they will repay through gate collections, so the government should not be accused of anything."
Ramirez scored two of Brazil's goals
Away from the costs, the game was excitement-filled, especially after the host team managed to grab a goal against the five-time world champions in the 5-1 loss.
The stadium erupted with joy after Jabir Aziz's goal in the dying minutes of the game, while Brazil coach Carlos Dunga praised his hosts for 'a good test'.
Robinho and Ramirez scored two goals each and Kaka was also on target as Brazil wrapped up their preparation before starting their World Cup Group G campaign against North Korea on 15 June.
"It was a good test for Brazil because Tanzania is a good team, very well organised," Dunga said afterward.
"The idea was to play teams with high speed, physically strong, so it was good for us to play Tanzania and Zimbabwe.
"My target is the same as all Brazilian people, to win the World Cup."
Dunga used his full-strength squad and all his players came through the match unscathed.
Haya...endeleeni kubishana na Kamau. Where do u thk ths money will come frm..Chemsha bongo mbongo..utajiju
Streaker ni jambo la kawaida nchi za wenzetu, kweli kunakuwepo na ulinzi mkali kama ulivyosema, lakini pia hutokea mtu kupenya, tena mara nyengine huingia wakiwa uchi kabisa.
ReplyDeleteNchi nyingi kama hapa uk mtu hupewa warning tu lakini kwa tanzania, usije shangaa akaangushiwa makosa kama kuhatarisha maisha ya wachezaje na watazamaji wenzake, kutilia taifa aibu na hata uterosisti.
Si afadhali huyo jamaa aliingia na kumkumbatia kaka tu, nchi za wenzetu watu huingia uwanjani katika michezo mbali mbali wakiwa bila ya nguo - streaker!
ReplyDeleteHII ni Topic Nzuri Kabisa najuwa kuna watu wataanza ya huko nje ni nje, Polisi wanatakiwa wamuachie jamaa siku nyengine iwe fundisho kwa wote na TANZANIA tumepoteza pesa kibao zak uingiza wangeshusha Ticket Price wangeingiza hata $3-4m. Juma.
ReplyDeleteBinafsi nisingependa kuwalaumu polisi kwa kitendo cha shibiki kuingia uwanjani. Hili si swala la kushangaza sana, kwani hata huko ulaya watu wanaingia uwanjani na mpaka kufanya vioja vya ajabu.
ReplyDeleteIla nitasikitika sana endapo, polisi wemempiga yule jamaa, kwani polisi wa Tanzania, huwa wanasifiwa kwa hilo.
Mwisho, napenda kutoa pongezi kwa shabiki aliyeingia uwanjani, kwa kuwa na ushabiki wa ukweli kwa Kaka, huu ni ujasiri wa kweli,kwani kwa mtu anayejua jinsi gani poliksi wa tanzania wanavyopenda sifa kwa kupiga, bado jamaa alijitosa kuingia uwanjani, na hatimaye kufanya kile alichokifanya na hatimaye roho yake kuridhika kabisa.
Hongera sana kaka..
Unazungumzia mechi ambapo Staz waliifunga Brasil 10 kwa tano. Naambiwa pia wadosi walikabwa sana na vibaka nje maana askari walikuwa ndani kushangaa. Nawapongeza vijana wetu kwa jitihada na pia washangiliaji walijitahidi kumpa moyo daudi dhidi ya goliati. Kila mtu alijua tungefungwa lakini kurudisha angalau lile moja ilikuwa furaha tele.
ReplyDeletehivi kwani ungeandika kiswahili tu tusingekuelewa hadi uandike kiingereza tena kwenye point isiyo ya maana unataka dunia ilishikie bango hilo jambo kwanza yule shabiki ana akili sana tangu anakimbia kuingia uwanjani aliinua mikono juu kuonyesha kwamba hana silaha anaenda kwa amani wengi walipenda kumgusa kaka walikosa ujasiri tu yule jamaa kwa moyo ule wa kujua kabisa ffu watampiga lakini bado akaenda inabidi taifa nimuajiri kama askari kutokana na moyo wake wa kijasiri
ReplyDeleteHuu ni mwendelezo wa Watanzania kuiga 'wenzetu' wanavyofanya. AC Milan wamecheza na Chicago Fire wiki iliyopita. Kuna streaker alienda kumkumbatia Ronaldinho Gaucho.
ReplyDeleteJionee mwenyewe hapa:
http://sports.yahoo.com/soccer/blog/sow_experts/post/Ronaldinho-more-tolerant-of-loving-pitch-invader?urn=sow,244740
kitendo cha shabiki kuingia uwanjani kinatokea sana hata ulaya lkn shabiki anapoingia tu unaona askari kibao wanamkimbilia kumkamata lkn jana mtu anaingia mpk anatoka nje ya uwanja ndio nawaona askari wanamfuata, hii ni hatari sana na TFF wategemee kupata matatizo kutoka FIFA
ReplyDeleteHakuna lolote hayo mambo hutokea mahari popote hata iwe nchi zilizo imara na ulinzi in all it was just unspected thing to happen. Hakuna haja ya kuwalaumu polisi. Kikubwa ni kumuachilia huyo kijana maana ilikuwa ni huku ya kuwaona wachezaji amabao kwa Tanzania itakuwa ni mara ya kwanza na ya mwisho so ni historia ya pekee
ReplyDelete