Home
Unlabelled
habari mchanganyiko toka zenji leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli kuna tofauti kubwa kati ya bara na visiwani.Mfano hiyo lumbesa bara unakuta ni mtu mmoja anayehangaika nayo toka shule ya Uhuru hadi karume tena bila wasiwasi zenji watu wawili bado wanahenya kuifikisha mtaa wa pili,hahahahaha.
ReplyDeleteHuyo Asakali wa Usalama barabarani sio kwamba anakokota pikipiki aliyoikamata hata,bali anatoka sokoni darani kununua kitowewo na kukiwaisha nyumbani!kama ilivyo kawaida ya wanzazibar wanaume ndio waokwenda sokoni! sio akina mama.
ReplyDeletena mara nyingi ikifika saa 4 asubuhi wanaume wengi utoroka makazini na kwenda sokoni
ww Mbigiri hao wanaokokota lumbesa ni wabongo na sio wazenj
ReplyDeleteKaka Michuzi Tunashukuru kwa kutuletea habari mchanganyiko toka upande wa visiwani wa nchi yetu. Hii ni muhimu sana na tunataka itokee mara kwa mara,
ReplyDeleteUnajua visiwani pako kivyakevyake.Hawa jamaa kweli huwa wanatoroka kazini kabla ya muda wa saa za kazi. Hili swala naomba lipewe mada yake lenyewe,
Mfano: Wakazi wa visiwani huingia kazini wakiwa wamechelwa sana, then kabla ya saa saba mchana huenda kumwomba Mwenyezi Mungu Msikitini; then wanarudi kazini baada ya dk chake kisha kutoweka kwenye kahawa na kashata.
Ila Zenji kuna fleva zake kama kule Forodhani enzi hizo; unapata pweza, samaki fresh, nk,nk pale kwa disco Bwawani, taarabu na mavari ya ki-mwinyi-mwinyi, dala dala zao, na mambo ya Msheha...viko poa kabisa;
wape salamu zangu