Ankal pole na shughuli za hapa na pale zaidi na zaidi ni kutupa mambo kwenye libeneke, nilikuwa naomba wadau watusaidie kutujuza nini maana ya kiduku maana imekuwa maarufu sana siku hizi ikiwezekana na hata historia yake kwa kifupi imetokea wapi. na nini hasa asili yake taarabu au bongo fleva.
ni hayo tu.
mdau wahapahapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...