Diomansy Kamara akiwa kaweka pozi kwenye katika banda ya kampuni ya uwakala wa utalii nchini,katika ndani ya viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya karibu
Diomansy Kamara kushoto akipokea fulana ya kutangaza vivutio vya utalii kwa moja wa maofisa wa bodi ya utalii pamoja na waratibu wa maonyesho ya utalii ya karabu yanayoendelea kufanyika mjini Arusha.
Mchezaji soka wa kimataifa Diomansy Kamara akipokea nyaraka mbalimbali za kutangaza vivuto vya utalii vya tanzania kutoka kwa waratibu wa maoyesho ya Karibu yanayoendelea kufanyika mjini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    Geofrey Meenaa umeula kaka kutoka Kibo Gold Blue band hadi bodi ya utaliiii! kazi nzuri kijana wetu. sisi bado twabeba box huku uhindini

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    SIYO KILA MTU ANAMJUWA KAMARA, YOU NEED TO PROVIDE SOME BITS OF HIS PROFILE MEN, HUO NDO UANDISHI GANI!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2010

    Kamara, mcheza soka yuko vekesheni bongo, halafu hana kampani ya mchezaji wa bongo..aah tff mko wapi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2010

    umebana comment yangu..but again he z not relevant even wewe unajua hilo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2010

    wazee hapo juu mmesema kweli. tff akuna wasomi awajuhi kazi zao!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...