JK akipokea fomu za kugombea urais toka kwa katibu
mkuu wa CCM Mh. Yusuf Makamba mchana huu dodoma
"....Kila la kheri yakhe..." anaonekana Mh. Yusuf Makamba
akimwambia JK baada ya kumkabidhi fomu za kugombea Urais
JK akionesha fomu kwa umati mkubwa wa wana CCM
waliojitokeza kushuhudia hafla hii
Mama Salma na watoto walikuwepo kushuhudia
Mama Salma Kikwete na Mama Pinda katika hafla hii
Vijana wa UVCCM wakihakikia kadi za wanachama wanaomdhamini JK
Uhakiki wa wadhamini wa JK waendelea
wengi wajitokeza kumdhamini JK
Uhakiki wa wadhamini wa JK unafanyika kwa makini
foleni ya wana CCM wanaotaka kumdhamini JK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    HAKUNA UBISHI JK ATATAWALA 10YRS MTAKE MSITAKE

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    kuna mtu anajua nitapata wapi nguo aliyovaa mama salma? bila ya hiyo ccm manake imemtoka kweli nani kamshonea manake kamichu ungekuwa unaandika pia nani kashona tumtafute.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2010

    Mukufu rais ni al maarufu kwa kulipa fadhira, hata mie ningeungua jua nikisubiri kumsapoti sababu najua hilo jua halitapata tena baada ya uchaguzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...