Ajali imetokea leo barabara ya Darajani unguja ikihusisha daladala na mwendesha baiskeli ambaye bahati alinusurika kwa majeraha kiasi. chanzo hakikuweza kujulikana mara moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2010

    Tushukuru Mungu hakuna aliekufa, kiukweli sijui nani mkosa ila naona ni km stendi ya daladala Kisiwandui si nahisi pedestrian ni mkosa, any wei hta daladala za chukwani nako ajali hko Magomeni na Bububu kutakuaje. Tuweni makini jamani.
    Mdau Osmania

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2010

    Hii sio barabara ya darajan... Hii ni barabara ya Michenzani kuelekea mkunazini bwana michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...