MKE wa Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Jacques Champagne De Labriolle wakikata utepe kuashiria kuizinduwa Wodi mpya ya Wazai katika Hospitali ya Wilaya ya Michewena Pemba , iliojengwa kwa ushirikiano na ) na Jumuiya ya ZAYEDESA. AIDE MEDICALE DEVELOPPEMENT YA UFARANSA( AMD ) leo
MKE wa Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Jacques Champagne De Labriolle wakiondowa kipazia kuashiria kuizinduwa wodi mpya wa Wazazi katika Hospitali Wilaya ya Micheweni Pemba, iliojengwa kwa ushirikiano na AIDE MEDICALE DEVELOPPEMENT YA UFARANSA( AMD ) na Jumuiya ya ZAYEDESA.
Picha na Othman Maulid.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...