Home
Unlabelled
neshno la moses mabhida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahaaaaaa KITENGE kaanza tena kuuza sura.kaazi kweli kweli.
ReplyDeleteMdau-Mji wa Kusoma!!!
show off, ushamba tu, kuuza sura tu, kweli tulikua kizani
ReplyDeletena wewe acha ushamba mbona watu wengi tu wamenda huko SA kwenye world cup na hawajatuma picha kwa michuzi!!
ReplyDeleteKusema kuwa viwanja wavifanyie nini.Kwani viwanja vya soka kazi yake ni nini?.Kwani mwandishi ni mlipa kodi wa South Africa au ni msemaji wa Serikali ya huko?.
ReplyDeleteMaulid wa kitenge,akija huku Ulaya itakuwa tabu kweli kweli.Atauza sura zaidi,sipati picha.
Yani hili bitozi linanikera kinomaa,mbona shamba la bibi hupigi picha za pozi jukwaa la Pepsi kule????
ReplyDeleteNimekushusha kweli na sahau ata kama nitaangalia habari zako sababu upeo wako mdogo sana. Eti umekaa na mshabiki wa Ureno SO WHAT?????? Tutokee hapa una-pulute blog
Ubunge Ryora wagombea wametosha kaka. Kaza subra mpaka 2015 ndio uanze publicity.
ReplyDeleteNi Madibha, jamani, siyo Mabhida. Tuweni waangalifu na majina ya watu.
ReplyDeleteYup they have spent $ 50 billion kuandaa haya mashindano. Hiyo ni 10% ya GDP yao. But 50% ni one year GDP ya bongo. I think ni good investment na ita payoff big times.
ReplyDeleteI'm so proud of South Africa.
NESHNO LIMETOKANA NA NENO NATIONAL STADIUM = UWANJA WA TAIFA NA HII NI KWA TANZANIA, SO VIWANJA VYA SOUTH AU MAHALA PENGI DUNIANI HIVIITWI NATIONAL STADIUM, SO HIVYO VYA SOUTH SI NESHNO, THEY ARE JUST FOOTBALL STADIUMS
ReplyDeleteHivi mtu anaendaje kucheck match bila hata ya jezi ya ushabiki? kama mzalendo sana hutaki kuvaa south African jezi au hata a Ghanaian one, vaa basi ya Tanzania. Sioni why mshabiki, tena 'mwanamichezo' aende na fulana za kizushi mpirani
ReplyDeleteyaani wabongo bwana kwa wivu, majungu na ushamba mara akija huku ulaya atauza sana sura hivi mnajua maana ya world cup it's once in 4 years mwachieni ajiachie to the fullest inaonekana wote nyie wabeba box na status zimekataa kaeni kimya shen%$%$ type
ReplyDeletewe Annoy Sun Jun 27, 01:27:00 PM unayejifanya kusahihisha wenzako wewe ndie haujui uskrem mambo MADHIBA ni jina la nelson Mandela ila uwanja unaitwa Moses Mabhida mwandishi yuko sahihi wewe ndie uwe mwangalifu kutoa maoni kama huna uhakika na kitu
ReplyDeleteAnon ulietoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya neno 'neshno' kuwa sio sahihi, na badala yake angesema 'stadium', sio kwamba watu hawajui kuwa kiwanja cha mpira kinaitwa stadium, ila hiyo aliyotumia ni lugha ya huku ku-Michuzi Blog.
ReplyDeleteKwa vile ule uwanja wetu mkuu wa zamani wa mpira ulikuwa unaitwa uwanja wa Taifa (National Stadium), basi wabongo sie tunafupisha ama tumetohoa kuwa kila kiwanja cha mpira tunakiita Neshno, sio kwamba hatujui, tunajua kuwa it is a stadium, na kila kiwanja cha mpira kina jina lake, ila tumeamua tu kuviita vyote Neshno, kutokana na National Stadium (hichi kiwanja kilizoeleka sana).
MAY BE SOUTH AFRICA IS THE NEXT GREECE. REMEMBER THE 2004 ATHENS OLYMPICS?
ReplyDeletekitenge we tuma tu mapicha yako wasikubabaishe hao tena hata za kwenda kuoga we weka tu wenye kupenda watacheki wasiopenda wafunge macho kivyaooo.
ReplyDeleteKitenge enjoy yourself na please endelea kutuma picha zako. Hao wanaoona wivu wapuuze kabisa. WENYE WIVU WAPASUKE!!!! Mbona watu wengi tu wanaposti picha zao za arusi, matangazo, kipaimara, ubatizo, n.k. na hatuoni reaction ya wivu?. Muumba atakulinda na wenye chuki zitawarudia wao wenyewe. Usijali bro wewe unawajua WANAWIVU wamejaa Bongo. Anayekulinda wewe ndiye atakayewaadhibu wao. Amin.
ReplyDeleteMsimlaumu sana huyu mtu labda na nyie au sisi tulikua hivi hivi miaka ilee. Ukishaishi kwa nchi nyingine kwa muda mrefu na culture inabadilika...Najua mtasema lakini this is true...Honesty mimi dada zangu wawili walikuja huku mwaka jana nikawa nao hapa kwa miezi mitatu...Mmoja ni mkubwa kwangu na mwingine ni mdogo wangu...Tulivyokua hapa nilikua naobserve mambo ya ajabu sana...unajua ukienda bongo siku ni mara chache na ni kwa week nne tu umerudi ...Kwanza zote unatumia kule mlimani sasa hukumbuki mambo ya zamani mlivyokua mnakua nyumbani pamoja kule mjini...Ila vitu walivyokua wanapenda na kufanya nilikua nashangaa na vingine wanavyotaka kufanya nilikua nakataa kabisa...
ReplyDeletekwanza kupiga picha nilikua nikiwapeleka sehemu mbali mbali watachukua picha lakini na zingine nilikua hata sioni ni za maana..Wanataka wapige picha pembeni ya wazungu, wakila na umma, maduka yenye majina, magari expensive, tukienda saloon wapigwe picha wakitengenezwa, nikawapeleka kwenye aqua massage ilikua tabu kuchukua picha lakini walipiga...yaani vitu vya jabu ajabu wao ndio wanaona ni vya muhimu kwenda kuonyesha...
na pia walivyoviona kwangu wanasema kumbe una hiki kitu. Mbona hujapiga picha ukatutumia? aggrrrrr. Sasa nikikutumia picha na kukuonyesha kuwa nina this and that itakusaidia nini au itakuongezea nini? That was my question to them?
Sasa nyie mnao mlaumu huyu na picha zake na kuziona ziko off ni kuwa tabia na macho yenu yamebadilika...Mlivyokua mnaviona ni vya kawaida miaka ile sass hivi mnaviona ni kama vituko tu...kwahiyo ukiona picha humu kaa chini uiangalie tu na kutabasabu
Culture yetu ni ya show off. Ukiwa na kitu ni lazima watu wakione na wajue unacho. Na pia ukienda mahali nilazima watu wajue ulifika mahali na huchukui picha kwa kumbukumbu zako na kuonyesha rafiki zako bali ni kwa ulimwengu mzima kwa wanao kujua na wasio kujua waone tu..
yes sometimes nasema ilikua vizuri miaka ile watu hawajatoka wengi nje ya nchi lakini sasa hivi sio hata lazima utoke nje ya nchi ukigoogle tu kila kitu unakiona
WATU WAWILI HAPA KATIKA MAONI YAO WAMEKOSEA JUU YA JINA LA UWANJA. MLETA HABARI HII YUKO SAHIHI KABISA NI MABHIDA NA SI MADHIBA KAMA WENGINE WANAVYOSEMA JINA HILKI HALINA UHUSIANO KABISA NA MANDELA, NELSON MANDELA HUITWA MADIBA SI MADHIBA KAMA MTU MMOJA ALIVYOCHANGIA HAPO JUU, MOSES MABHIDA ALIKUWA MWANASIASA MASHUHURUU SANA SOUTH AFRICA ALIZALIWA KATIKA FAMILIA YENYE UWEZA KWA STAND YA KI-AFIKA NA WALIKUWA NA ARDHI KUBWA NZURI, WAKANYANG'ANYWA NA WAZUNGU NA KUTUMULIWAKWENDA KUISHA MAHALI KWENYE ARDHI HABA NA MBOVU KWA KILIMO, ALIPOKUWA NDO AKAJINGA KATIKA MAMBO YA SIASA. WATANZANA TUWE WATAFITI KWANZA KABLA YA KUPOTOSHA WATU SOMA HABARI YAKE HAPA CHINI
ReplyDeleteMOSES MABHIDA
Moses Mabhida (14 October 1923–March 1986) was a South African politician. Mabhida was leader of the South African Communist Party from 1978 until his death in 1985
Mabhida was born into a peasant family which was later forced off the land. Mabhida was drawn to trade unionism by the late Harry Gwala, then an ardent unionist and member of the South African Communist Party. Mabhida, too, joined the Communist Party in 1942. After many unionists were banned in 1952-1953, his colleagues in the newly revived underground party urged Mabhida to undertake fulltime union work. In the next decade, he organised scores of workers in Natal. He was a central participant in the development of the South African Congress of Trade Unions (SACTU) and was elected a vice-president at its first congress in 1955. He also served as secretary of the ANC's Pietermaritzburg branch in the mid-1950s, and had a close working relationship with Chief Albert Luthuli. Mabhida became a member of the ANC's National Executive Committee (NEC) around 1956, and in 1958-1959 was acting chair of the Natal ANC.
A week after the declaration of the 1960 state of emergency, Mabhida was sent abroad by SACTU to represent the organisation internationally. For the next three years he organised international solidarity activities in Prague with the World Federation of Trade Unions, and with the developing African trade union federations. In 1963, following his re-election to the NEC at the ANC's Lobatse conference in October 1962, he was asked by Oliver Tambo to devote himself to the development of the ANC's armed wing, Umkhonto we Sizwe (MK). Mabhida then underwent military training; as MK commissar he became the chief political instructor of new military recruits, and later served as the commander of MK. Mabhida's repeated re-election to the NEC, his appointment to the Revolutionary Council on its creation in 1969, and later to the Politico-Military Council which replaced it, reflected his popularity among ANC members.
After Morogoro in 1969, he was instrumental in setting up the ANC's department of Intelligence and Security. He was elected General Secretary of the Communist Party in November 1979, replacing Moses Kotane who had died the previous year. In the 1980s, Mabhida continued his work with political and logistical planning for MK, based at various times in Lesotho, Mozambique and Swaziland. In 1985, while on a mission to Havana, Mabhida suffered a stroke, and after a year of illness, died of a heart attack in Maputo and was buried there in March 1986.
NI KWELI KILA KIWANJA CHA MPIRA KINA JINA LAKE HUJAKOSEA KABISA UMEPATIA, NA CHA KWETU JINA LAKE NI NATIONAL, SO HUWEZI KUITA TRAFFORD PARK =NICK NAMED THEATRE OF DREAMS, KUWA NESHINO KWANI NESHINO HAINA MAANA YA STADIUM/UWANJA, NESHINO NI JINA LA UWANJA WETU TANZANIA KAMA VILE MOSES MABHIDA. BE LOGICAL PLEASE
ReplyDelete