Askari wa zimamoto wakipambana na moto ulioteketeza Maisha Club maeneo ya Oysterbay jijini Dar mnamo Novemba 8, 2009. Habari za uhakika ambazo Globu ya Jamii inazo zinasema kwamba baada ya ukarabati mkubwa Maisha Club inatarajiwa kufunguliwa upya wiki hii na kuleta sura ingine katika viota vya maraha jijini Dar. Mmiliki wa Maisha Club, Mama Hellen Sweya, kesho anakutana na wanahabari kutangaza tarehe ya uzinduzi wa club hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2010

    haya wabongo wenzetu kuleni raha kwa KAZI ZAIDI , ARI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI
    KATIKA MAISHA CLUB MPYA NASI TUNAWAUNGA MKONO KWAKUCHOTA DHAHABU ZAIDI GASS ZAIDI NA KUWANYIMA PESA ZA BUDGET ZAIDI

    ReplyDelete
  2. Habari njema! Na natumaini itakuwa nzuri kuliko ilivyokuwa kabla ya moto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...