Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila akijibu Maswali toka kwa wanafunzi mbalimbali waliofika katika Banda la Bunge kujifunza majukumu ya Bunge pamoja na namna Sheria zinavyotungwa Bungeni. Wananchi wa Mwanza waliofika katika Banda la Bunge wakimuuliza Mhe. George Malima Lubeleje Mbunge wa Mpwapwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, kuhusu wajibu wa Mbunge kwa wananchi kama mwakilishi wao Bungeni na namna ambavyo wananchi wanaweza kuwasilisha maoni yao kwa Mbunge wakati wa Maonyesho ya wiki ya Utumishi Mwanza. Mhe. Lubereje alikua akitoa elimu ya Uraia kuhusu shughuli za Mbunge Bungeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...