Home
Unlabelled
NGOMA NI MAPUMZIKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
http://www.ilemi.com/5684/1/Watch-Tanzania-vs-Brazil/
ReplyDeleteESPN sports Live Tanzania vs Brazil pia kwenye intaneti http://atdhe.net/20083/watch-tanzania-vs-brazil.
ReplyDeleteNgasa anaonekana mwiba kwa ngome ya Brazil, ingawa sasa mapumziko Brazil 2 Tanzania 0. Robinho ameipatia Brazil mabao yote mawili.
Sasa timu zote zimeshaingia uwanjani kuanza kipindi cha pili.
Refa na washika vibendera wanakagua nyavu na wachezaji ili kipindi cha pili kianze.
mpira umeanza. Lucio, Kaka, Maicon, Robihno, kipa Gomez kwa Brazil wapo ktk line-up, Nsajigwa, Hamud, Ngassa, Mgosi, kipa Mwarami ni baadhi ya walioanza kwa Taifa stars
Mdau
jijini london.
Dakika ya 53 Brazil yaongoza 3 kwa bila,Mchezaji Raminez aliyeingia toka benchi aipatia Brazil bao la 3.
ReplyDeleteMdau
jijini london
Kaka sema Brazili 3 Taifa stars 0. Kwa wenye internet unaweza angalia mechi hii moja kwa moja (live) toka bongo via www.watchlivefootystream.com
ReplyDeleteDakika ya 57 Ngassa anaingia ndani ya 18 lakini anakuwa mzito wa maamuzi. Dakika ya 58 Nizar anapiga shuti lakini linapaa juu ya goli la Brazil.
ReplyDeleteNsajigwa anaambaa na mpira na kupatiwa mpira wa adhabu ndani ya mita 20 toka langoni mwa Brazil, lakini mpira wa adhabu unatoka na kuwa goli kiki.
Kigi Makasi na Nizar Haroub wanatolewa na nafasi zao kuingia David Naftali na John Bocco.
Dakika ya 65 mtazamaji mtanzania anaingia ndani ya uwanja na kuleta taharuki.
Dakika ya 66 Ngasa anaingia ndani ya boksi na kupiga kiki kali inayomfanya golikipa Gomez wa Brazil kuitema na kuidaka tena.
tumefungwa ila game si baya sana. ila nashangaa nilikuwa naona vyombo vya habari vinatoa picha za watu kupanga mistari mirefu kwa ajili ya ticket lakini hapa ndani naona viti havijajaa kabisa orange side iko wazi sasa tatizo lilikuwa utaratibu wa kuuza au ticket zilikuwa chache. du noma,
ReplyDeletemdau SK