wakongwe wa muziki nchini Old Skul Tanzania wakiwa katika tizi kujifua na onesho lao la kukata na shoka litalofanyika Karimjee hall jijini Dar Julai 7, mwaka huu kwa madhumuni ya kuwaunganisha wakongwe hawa waliowika enzi hizo na sasa pamoja na kusaidia wazee na watoto wenye matatizo.
Home
Unlabelled
old skul tanzania kufanya onesho julai 7 mwaka huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hivyo vidole hapo kwa keyboar lazima ni waziri ally wa njenje
ReplyDeletesasa wewe mtoa mawazo wa mwanzo hivi wewe ni juha kalulu wa namna gani? kwa nini usiangalie hiyo clip na ukajua badala ya kuleta comment isiyo na maana hapa?
ReplyDeletehapana huyo kwenye keyboards ni salvador kidevu, waziri ally ni yule aliyesimama katikait, wadau huyo anayepiga sax amevaa shati la jah ni nani? anapiga nice lines
ReplyDeleteKumbe sasa nimeelewa kwa nini BULOGI YA KITIME kule imedoda karibu mwezi mzima sasa hakuna kitu kipya kinaingia kule!
ReplyDeleteKumbe yuko BIZE NYINGI huku kwenye mazoezi haya mpaka hana muda wa ku-apdet bulogi yake!
Pole na shughuli Kaka.