Hawa ni wanafunzi wa Form 3 wa Marion Girls High School ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambao walifika leo, tarehe 18 June 2010 makao makuu ya PPF hapa PPF House ili kujua na kuona jinsi mfuko wa pensheni wa PPF unavyochangia mapato (Government Revenue) serikalini.
Hiyo ilikua na ni sehemu ya "project" yao ya "Sources of Government Revenue". Wanafunzi hao walipewa maelezo fasaha toka kwa maofisa wa PPF ambao ni Masou Masoumay, Mary Msoffe, Godfrey Robium, Alfred Elia na Donald Maeda. Kwa habari zaidi kuhusu mfuko wa PPF tembelea tovuti yetu
www.ppftz.org
Nawakilisha
Mdau PPF



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...