mdau Dhiresh Kaba (kati) akiwa sauzi kushuhudia kombe la dunia. anasema baada ya BafanaBafana kufanya kweli leo angalau wamatumbi tunapumua kwamba tunakiweza.
Mdau Dhiresh na mashabiki wa sauzi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. TusanjitihJune 22, 2010

    We vipi? Kufanya kweli ni kuweza kuendelea kuwa katika mashindano na siyo kukumbuka shuka wakati kumekucha!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    Wamatumbi wameshatolewa kwenye mchezo wewe unasema wanaujua mpira?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2010

    hicho alichofanya leo SA kinatosha wewe ulitegemea south angefika wapi? watu wameanza mpira baada ya mandela kutoka jela tofauti na kina brazil wameanza tangu pele hajazaliwa we tusanjitih vipi

    ReplyDelete
  4. Picha ya pili hao ni mashabiki wa MEXICO Sio Sauzi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2010

    Dhiresh, kutokana na picha ya kwanza naona uliona "vitu" vingi zaidi kuliko soccer...he he he!...Aggrey.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2010

    ebwana Fifa noma Beer moja ndani ya uwanja R 30 (Budweiser)wakati mitaani tunapata six pack kwa bei hio hawa jamaa wanatuibia tu jamaa kajichanganya na wa mexican inaelekea hawapendi bafana

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2010

    Ndiyo, Bafanabafana kuigunga Ufaransa 2-1 ni jambo la faraja.
    Maana hapa Paris, Ufaransa magazeti kama El Figaro n.k wanataka timu nzima ya Ufaransa ifumuliwe. Thierry Henry ameitwa Ikulu kuonana na Mh. Rais wa Ufaransa Sarkozy ajieleze kwa niaba ya Timu ya Ufaransa imekuwaje?
    Mdau
    Jijini Paris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...