Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya EPZ Dr. Adelhelm Meru akitoa maelekezo juu ya uwekaji wa jiwe la msingi katika eneo la EPZ la KAMAL INDUSTRIAL PARK eneo la zinga Bagamoyo utakaofanywa na mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 25 June 2010. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya EPZ Dr. Adelhelm Meru akiwakaribisha Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ms. Mercy E. Sila na mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru walipotembelea mamlaka ya EPZ kujifunza kuhusu uwekezaji
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya EPZ Dr. Adelhelm Meru na Madiwani wa Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru walipotembelea mamlaka ya EPZ eneo la mabibo External.
Madiwani wa Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru wakipata maelezo walipotembelea mamlaka ya EPZ eneo la mabibo External.
Madiwani wa Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru wakikagua mandhari walipotembelea mamlaka ya EPZ eneo la mabibo External.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...