Meneja wa Bia ya Safari Lager, Fimbo Butallah (kushoto), akielezea umuhimu wa vyombo vya habari katika kuuendeleza mchezo huo. Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Tanzania (TAPA), Amos Kafwinga akieleza sheria za mchezo wa pool wakati wa semina ya waandishi wa habari juu ya uelewa wa mchezo huo, mjini Bagamoyo leo. Semina hiyo ni sehemu ya maandalizi ya mashindano ya Taifa ya Pooli ya Safari Lager yanayotarajiwa kuanza Julai 13, Mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye semina hiyo.
Katibu Mkuu wa TAPA, Kafwinga akielezea sheria za mchezo huo.
Kafwinga akielezea aina ya mipira inayotumika katika mchezo huo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2010

    ankal ni wewe nakuona hapo au ni macho yangu. nilizania uko kwa madiba una watch soccer

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...