wenye data juu ya timu hii msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2010

    Waliosimama mstari wa nyuma, wa pili kushoto ni Zamoyoni Mogella. Wengine siwajui.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2010

    hapo ninaemjua ni zamoyoni magoli tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2010

    Ankal hii ni blogu ya jamii wacha kubania siyo watu wote wamekula chumvi kama wewe kama unajua hao watu majina yao itakuwa vizuri ukitaja au ndiyo chemsha bongo hiyo?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2010

    katikati mwenye afro ni ndogowake amasha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2010

    Hapo mstari wa kati kutoka kushoto ni Ayoub Mzee, wa tatu ni Abdul Amasha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2010

    Huyo ni mnyama bwana enzi zileee! Asikwambie mtu,timu ilikua timu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...