Hi Muhideen vipi ndugu yangu mbona kimya hata sikusikii siku hizi,je kazi nyingi sana huko?
Nimeisoma barua aliyokuandikia baba yake na mtoto Abdulkareem kuhusu tabia za kukimbia kwao,hilo ni tatizo kubwa sana kwa mtoto wa umri wake kukuanalo kama asipofanya kazi ya ziada huyo mtoto hatowezarudi katika tabia ya sawa tena,ni vyema huyo mtoto apelekwe kwa pychatric kumuangalia au kumtibu hilo tatizo,hiyo ni behaviour inayoweza kumpata mtoto yeyote yule hasa watoto wa kike hako katabia huwanako sana kama ukilinganisha na boys,jamaa amrudishe nyumbani Dar na kama ataweza amtafutie mfanyakazi maalum wa kumchunga yaani kuwa naye wakati mwingi.
Pia inawezekana mtoto tayari aliisha haribiwa huko nje,kuna wachawi wengi sana nje huwa kazi yao ni ku pray on little boys na kuwaharibu na kuwageuza kama bibi zao na mara nyingi tabia kama hizi watoto walioharibiwa hutekwa akili na hao wabakaji na kufanya kila watakaloambiwa kufanya na hao crimanls,hilo ni tatizo kubwa sana na hakuna mzazi yeyote yule atapendelea mwanae atokewe na maswahiba kama hayo ya huyo mtoto.
Mimi kama mtoto wa Kariakoo nimeziona hizo tabia zikitendeka sana za kuharibu watoto wa kiume. Watoto kufanywa wawe mashoga. Mtoto akiendelea namna hiyo bila ya kurekebishwa mapema itageuka kuwa msemo wa samaki mkunje angali mbichi.
Ni hayo kwa leo.
Mdau Karenga Toronto
BWANA KARENGA, UNAONGEA VITU GANI TENA NDUGU YANGU???....MBONA HAKUNA KICHWA WALA MIGUUU??...hHII STORI IMEANZIA WAPI?
ReplyDeleteNilianza kusoma nikakuona kweli lakini ulivyoelekea kwa wachawi ni mekuona looo kutoka kote huko bado hujaelimika....
ReplyDeleteHuyo mtoto anahitaji kupelekwa kwa wagaga wa hosptial wenye kushughulikia mental problems. Haitaji kupigwa wala kuwekewa makufuli mlangoni. Kumbuka huyu mtoto ana miaka 13 soon atakua kijana na kuanza kuwajibika katika maisha yake. Hata weza kabisa na atabakia kuwa mzigo kwa wazazi wake. Huyo ana matatizo ya akili na wala hakuna cha uchawi hapa....
huyu karenga naye sijuii anaandika ushuzi gani hapa kama hujuii chakuchangia nyamaza sio utuandikie pumba hapa mtu anauchungu na mwanaee badala yakumpa ushauri mzuri wewe unaanza kuleta mambo ya ajabuaja hapa umeniudhi sana
ReplyDeleteJamani, si amewaambia yeye ni mtoto wa Kariakoo, msimfanye kihivyo jamani!
ReplyDeleteWatu wengine wanaposoma habari huwa hawaitii akilini wakaitafakari kwanza, wanakurupuka tu na kuropoka ndo mana tunafeli shuleni na kimaisha pia.
ReplyDeleteManeno aliyozungumza huyu bwana ni ya kweli 100% na yapo, anazungumza thru experience. Alipoandika wachawi wengi hakukusudia directly kuwa ni nguvu za giza inabidi msomaji uchambue neno hili ulielewe. wachawi wako aina nyingi si lazima tu wanaotumia nguvu za giza, unapomchawiya mtu unaweza fanya hivo kwa njia tofauti.
Ila tu maneno aliyoongea huyu bwana ni ya kutiliwa maanani especially ukizingatia kuwa huyu ni mtoto mdogo ni mara moja kumteka akili yake na kum tune to what you (mharibifu) wants. watoto inabidi tuwe karibu nao sana ili tuelewe mienendo yao na tusiwe wa kukaripia tu kila dakika watoto wanaogopa hali hiyo na hawatofungua mdomo wao kamwe kukwambia kinachowasibu.
Dunia imeharibika siku nyingi lakini sisi huku ndo tunaanza ku i feel kisawasawa. watoto wa kiume wadogo wanaharibiwa at the same time na wa kike pia. usimwamini mtu 100% na mwanao kwani hata wajomba na mababu pia wanafanya uharibifu huo.Wakati mtoto anapoanza kutoroka na kuwa na tabia tofauti tusisahau kufikiria jambo hili la mtoto kuharibiwa kuwa nalo linaweza kuwa ni sababu.
Kabla hamjamshambulia bwana Karenga naomba niwape isa imoja cha ukweli ilichotokea katika familia moja, baba mdogo kampa mtoto wa kakake mtoto wa kiume aende akakae naye akiwa amemaliza darasa la saba ili aende sekondari dar,kwao ni moshi,na ada analipa mzazi mwenyewe,mtoto akatoroka kwa kakake akatafutwa baada ya kama siku tatu akaenda moshi akidai kuwa alitembea kwa miguu ila akapata lift kibaha mpaka moshi,wasikae chini na mtoto kumuuliza tatizo nini wakamsema kwa kuwa yule ni kaka na wakamrudisha tena pale mtoto akawa kazi nji kutoroka kumbe pale kulikuwa na vija´na wa kiume wanamgeuza mmke,akawa hana wa kumtetea na wazazi wanampiga mwisho wa siku mtoto aaharibika moja kwa moja na mpaka leo hakuna anayejua yule mtoto yuko wapi ni miaka kumi sasa famiolia inasema labda alishakufa,mzazi weka mawasiliano yako nina mengi tu yakukueleza sina nafasi humu.
ReplyDelete