Mgeni rasmi Waziri wa kazi maendeleo ya vijana na watoto Mh Asha Abdalla Juma akimkabidhi tuzo ya Mh Mohammed Seif Khatib Meneja Masoko wa kampuni ya Zanzibar Media Corporation Ltd,Said Khamis akimkabidhi tuzo msanii Baby J
msanii Ali kiba akiwapa burdani walioshuhudia utoaji wa tuzo hizo
washindi wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2010

    Ze Leboz !!!!!! By manager masoko.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2010

    Kaka Mithupu....hebu tuongelee tena suala la kuvaa suti na hizo Labels....angalia huyo Manager hapo na hiyo label...jamani lazima tuwaelimishe watu...Hizo Label zinatakiwa kuondolewaaaaaaaaa...jamani ni ushambaaaaaaaaaa mbona hamtaki kuelewa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2010

    Mh. Moh'd Seif Khatib na yeye ni muimbaji??? Au tunzo ya nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...