Katibu Mkuu Ofis ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel akifunguwa Mkutano wa wahariri wa Vyombo vya habari Magazeti,Redio,Televishen, Nchini Kuhusu Mazingira na Umasikini Ulioandaliwa na Kitengo cha habari Elimu na Mawasiliano Ofis ya Makamu wa rais
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Bi Ruth Mollel (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wahariri wa Vyombo vya habari nchini Mara baada ya Mkutano leo Mjini Dar es Salaam
Baadhi ya wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel [pichani hayupo} wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kuelimisha umma juu ya Mazingira na Umaskini uliofanyika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.{Picha na Ali Meja}

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2010

    mbona sioni maskini hata mmoja hapo. naona mkutano uliwakilishwa na watu wa mazingira tu....LOL

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2010

    hebu tuache kufundishana kuhusu kuondoa umaskini sasa na tufundishane kuhusu kuupata utajiri. umaskini tunao siku zote, makongamano,warsha, mikutano ya kuondoa umaskini kila siku na umaskini unazidi kukua tu.... hebu tugeuke upande wa pili wa umaskini nao,tufundishane jinsi ya kuuendea, kuufikia na kuupata utajiri...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...