Charles Hilary wa BBC akiwa na wadau kwenye ufunguzi wa kombe la dunia sauzi
watoto wa wadau wa sauzi wakishiriki katika sherehe za ufunguzi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2010

    Naona Mzee wa Macharanga, amekula nyago na 'Imitation' ya madini ya 'Zebaki'.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2010

    Michuzi,

    Tunaomba utuwekee video CLIP DR. Liki ili aweze kutuchambulia hili kombe vizuri. Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2010

    nina huzuni jamani nigeria!!uwiiii

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2010

    Nigeria yule Keeper wao ni Balaa! Yaani wamshukuru sana, vinginevyo wangefungwa magoli mengi sana.

    No worry, watafanya vizuri tu huko mbeleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...