Watanzania waishio Rome leo jioni walijumuika na wa Sauzi kuangalia mechi ya ufunguzi wa kombe la Dunia. picha zaidi tutembeleeni hapa www.watanzania-roma.blogspot.com.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2010

    hivi tanzania imo kwenye kombe la dunia 2010?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2010

    Iwepo isiwepo,kombe la dunia la mwaka huu ni la Africa nzima...Don't hate..Lazima tufurahie nchi zetu za africa.kombe likibakia africa fifa itaongeza timu shiriki kwenye kombe la dunia lijalo na Tanzania inaweza kuwa na chance who knows.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2010

    Hongera kwa kushangilia. Hii imenikumbusha wimbo wetu wa Taifa. kwamba beti la kwanza ... Mungu Ibariki Afrika... na beti la pili... Mungu Ibariki Tanzania... Hii ni kusema kuwa tulikuwa na Afrika kwanza (yaani waafrika kwanza ) kabla ya kutengwa au kubaguliwa na wakoloni ndipo tulipojikuta sasa watanayika, wakenya, warundi, wasuzafrika, wakihonda n.k. Hii Ndiyo sababu ya wafrika leo hii kushangilia timu za Afrika.. Mdau kihonda.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2010

    Unayeuliza swali hilo, kaa kimya maana hujui mpira.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2010

    ivi mdau #1,tuulize sie wapenzi wa kandanda kabla hujalopoka ivo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2010

    wee mdau wa kwanza ndo zimeama kweli hii inaitwa world cup na inachezwa kila baada ya miaka minne acha tuu hata wasiopenda soka wanajimix chezea world cup sio eeh dunia nzima inaangalia hii kitu sembuse bongo wapenzi wa timu za uk ndo ije world cup kina kaka nao wamo sema jingine hii usiguse wee huku nilipo watu tuliamka saa kumi na moja kuangalia ufunguzi na mechi kuanza kumi na mbili asubuhi though raha ya mpira iwe mida ya jioni huku unapata maji laini asubuhi mpira na chai acha tu mbele kwa mbele

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2010

    Duh, mdau wa Sat Jun 12, 03:44:00 PM umeboronga boronga kweli maelezo yako. Huwezi kuandika Kiswahili fasaha? Hata alama tu za kawaida (punctuation marks) zero? Hata huyo jamaa unayemjibu sidhani kama amekuelewa zaidi ya neno moja tu i.e. "chai"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...