Home
Unlabelled
wadau washuhudia bafanabafana wakitoka droo 1-1 na mexico gemu la ufunguzi kombe la dunia sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa mtizamo wangu, Mexico walistahili kushinda ile mechi, sema ndio hivyo tena mpira dakika 90, kwani walicheza mpira wa kiwango cha juu zaidi kulinganisha na Africa Kusini. Africa kusini walionyesha kulemewa kiasi, hata lile goli lao halikuwa la kitaalam kama goli walilofunga Mexico, pamoja na kuwa 'man of the match' amekuwa ni yule aliyefunga goli la Africa Kusini. Africa kusini walizinduka kidogo tu hapa mwishoni.
ReplyDeletePole kwa Mzee Madiba kwa kufiwa na kitukuu kwa ajali ya gari.
By the way Wadau, JABULANI maana yake ni REJOICE, nimeinyaka hiyo nikaona sio vibaya ku-share. Naona huo mpira wa Jabulani haukuwaathiri sana wa-Mexico na wa-Africa Kusini.
Leo nili-Jabulani sana baada ya kumuona Khaled wa Algeria na R. Kelly wakitumbuiza katika sherehe za uzinduzi wa mashindano hayo ya Kombe la Dunia.
MIJITU mingine bwana!
ReplyDeleteSasa hao waliojazana hapo mpaka wengine kukaachini kwani majumbani kwao hawana tiivii au?
Tiivii ziko mpka za mitumba siku hizi hata elfu 50 tu unapata tiivii.
Khaa!
We mdau wa Friday Jun 11, 10:31pm! "eti mijitu mingine bwana"! nadhan unajiamin sana kuwa unajua wakati hujui km hujui! unakurupuka tu! afu yaelekea upo nje ya nchi, so ushazoea ukiwa, maisha ya kwenda kubeba box na kurudi kwenye kiota cha ndege(apertment)ukiwa peke yako! Bongo watu kwa raha zao! si km watu hawana TV km akili yako ya kivivu inavyokutuma! watu wanafata company! wewe endelea na maisha yako ya upweke! Raha ya mpira mtizame wengi, mnakuwa km mpo uwanjani live, huyu aongee kile yule aongee lile, ndo raha ya mpira mama/baba! kalaghabao!
ReplyDeletewewe unayecoment watu kuwaita mijitu kwahiyo hata hao waongea kingereza (uk)hawana tv mbona wasimama lundo hivyo jibu watu wanafuata company ya watu ili kukuza urafiki mijadala ya hapa na pale kuhusu kome ili la dunia Watch out.
ReplyDeletewewe mdau wa Fri Jun 11, 10:31:00 PM, uliethubutu kuwaita watu majitu una matatizo ya akili, pia hujui lolote juu ya mpira.
ReplyDeleteKwanza unadhani kila mtu tanzania anauwezo wa kumiliki tv? jee kwa kuwa hawamiliki tv ndio uwaite majitu? huna ustaarabu hata kidogo, na una akili za kitoto sana.
Nitakusaidia kidogo tu raha ya mpira ni kutizamwa katika mkusanyiko mkubwa na ndio maana wapenzi wa mpira duniani kote (sio kama wewe) huenda kwenye viwanja kuona live au hukusanyika kwenye vilabu, bar au hata maduka ili kuenjoy. watu wamesafiri kutoka mabara tafauti kuja kuona, unadhani hao wote hawana tv makwao?
Jinga kubwa wewe!!!
duh naona kila pembe ya dunia zimemwagwa vuvuzela kwa kwenda mbere.mii mwenyewe nikizama boksini huuua siliaachi vuvuzela langu.nalipiga hadi kinaeleweka udumu ushirikiano mshikamano wa waafrica sote tupo nyuma ya timu zilowakilisha balaa la africa hapo bondeni.AFRICA UNITED OYE OYE OYE
ReplyDeleteMDAU KIGALI MAKAZI BOKSINI KUSAKA CHAKE
ZeroBrain umejipa jina limekufaa sawa sawa maana nina hakika bichwa lako ni maji tupu. GROW UP
ReplyDeleteMichuzi umezidi utani bwana utasemaje wadau wakipiga chabo kila mtu anajua maana halisi ya chabo na huipigiki hadharani kabisa!!!!!
ReplyDeleteAcheni kutoana macho jamani!!! Kwani bars, pubs, za nini??? Uingereza soka linafurahiwa kwenye pubs pamoja na kwamba wote wana wall mounted 50 inch high resolution TVs. Naangalia gemu la south Korea na ugiriki pub hapa! Acheni hizo tu-switch discussions zetu katika kumsisitiza ankal atuwekee pajazzzzzzzzzz na matitizzzzzzzz. Yani nikipata hii kitu sitalala! Nitajishughulisha usiku kucha!!! Yamejaaaa n sina pakuyaweka!!! Help me plz guyz tell ankal tu puti kitoweo!!!!! Ahsanteni sana wote!!!
ReplyDeleteweweeee raha ya mpira company bwana watu tulikuwa tunaacha lcd zetu zimening'inia nyumbani tunaenda paleee q bar manuu inacheza na bwawa au washika binduki ha ha haaa nyomi hiyo nitoleee utadhani tulikua old traford yani ni shangweeeee kwa sana yani natamani kweliiiii namisi hizo shangwe sana ebu na wewe jikusannyeni mahali utakubali raha ya mpira ni kampaniz
ReplyDeletekampani fulu shangwe,go go goooo AFRIKAA gooooooo
ReplyDeleteNimegundua kuwa mara nyingi majadiliano yeyote kuhusu issue ya nyumbani na nje ya nchi wanaokuwa wanajibishana ni wakuja waliopo uk na waliopo nyumbani wanaotamani kwenda nje lakini wanashindwa!
ReplyDelete