Pictured is Jan Børge Poulsen (born 23 March 1946) is a Danish football manager. He played most of his professional career at Boldklubben Frem.

During the 1980s he coached Boldklubben Frem and Køge Boldklub.
In 1990 he was named Richard Møller Nielsen's assistant for the Denmark national football team, and he was part of the team that won the Euro 1992. After the win in 1992 he was promoted to head coach of the Denmark national under-21 football team. He had this job until 1999, when he was named new sporting director of the Singapore national football team.


When Vincent Subramaniam was sacked in 2001 due to bad results, Poulsen stepped in to replace him. This didn't help Singapore and Poulsen himself was sacked in 2002. He then returned to Denmark to a couple of minor coaching jobs. In 2006 he made an agreement with Greve Fodbold to become new head coach, but at the same time he got the offer to become coach of the Jordan U-20s. In the end he accepted the job from Jordan. In January 2008, he accepted an offer to become the head coach of the Armenia national football team.

On March 30, 2009, Poulsen was relieved of his duties from the Football Federation of Armenia.

Poulsen is due to take over as the head coach of Tanzania in August 2010 after being appointed by the Tanzanian Football Federation from a short-list of 5 from 59 applicants.

CAREER PATH
1976-1978 - Store Heddinge BK
1979-1980 - Boldklubben Frem (reserves)
1981-1982 - Boldklubben Frem
1983-1986 - Køge Boldklub
1987-1989 - Boldklubben Frem
1990-1992 - Denmark (assistant)
1992-1999 - Denmark u-21
2001-2003 - Singapore
2004 - FC Bornholm
2005-2006 - Lyngby BK (youth)
2006-2007 - Jordan U-20
2008-2009 - Armenia
2010 - Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    Jamaa ana wasifu wa Coach mstaafu?Angalieni Michael Schumi anavyoboronga f1, hatuwezi kujifunza kwamba tunahitaji jina tunahitaji kocha? This guy has nothing to gain nor lose! Tutamlilia maximo I am sure!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2010

    huyu dizain transit anyway is better than nothing!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2010

    Resume ndefu matokeo hayaonekani. Tafuteni kocha mwingine

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2010

    Aliyeturoga watanzania..Mungu ndo anajua!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2010

    Ushindi gani ano national na international level? au kwakuwa ni mzungu?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2010

    tatizo sio kocha timu yetu ile tatizo je wachezaji wetu wanaelewa wanachofundishwa na kocha au wanakifanya wanachoelekezwa? tutabadilisha makocha sana tu..

    ReplyDelete
  7. Mdau wa sokaJune 13, 2010

    Jamani huyu hajawahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Zambia baada ya ile timu ya awali kufariki kwenye ajali ya ndege nchini Gabon? Mbona CV yake haisemi kuwa aliwahi kuwa Kocha Zambia. Mimi hili jina nalikumbuka au nimelisikia wapi siyo Zambia kweli?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2010

    WABONGO BANAA......TATIZO SIO KOCHA!!!!TATIZO WACHEZAJI HATUNA!!!Ebooo,HATA AKIJA MOURINHO BADO TUTAKUWA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU ...BISHENI!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2010

    come on hivi watanzania wamelongwa na nani ?? hivi hatuwezi kufanya kitu kwa manufaa ya nchi hata maramoja !! huyo jamaa kweli ndo mlio muona anafaa!!MIMI NAKUBALIANA NA KAMAMU WA KENYA SISI WATANZANIA WE ARE FUNNY CREATURE !!! KWELI KABISA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2010

    Résumé (CV) imejaa timu za 'mchangani-mchangani'! Amekaa ki-kombolela type zaidi kuliko ki-pro. Anyway, time will tell.

    Just curious, hivi Africa ni lazima timu zake ziwe na makocha wazungu ndio zifanye vizuri?

    Wizi mtupu!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2010

    vyombo vya habari navyo vinaturoga kututia hamasa ambayo wala haipo,tunaambiwa kiwango chetu kisoka kimepanda,kwa jitihada tunazozisikia na kiwango kuongezeka tusingeweza kutolewa na Rwanda, tumeshindwa kuwafunga kwetu, wametufunga kwao, naona hata bora enzi zile za kina lunyamila.Saivi kilichoongezeka ni mwamko tu, wala sio kiwango cha soka.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2010

    mimi nasema Kamau akisema ukweli mnasema ametutukana, hivi is this the best choice TFF can go for, sisi Wa TZ kama Kamau anavyotuita ni malofa. Huyu jamaa ana rekodi yeyote, hajawahi kushinda kombe lolote, tatizo TFF wametaka rangi-mzungu, Bwana Kamau naomba tuma article nyingine,

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 13, 2010

    hapa ni sawa na kuuza godolo halafu unaanza kulala chini,

    unauza kitanda halafu unaleta mkeka.

    unauza bunduki halafu unanunua kirungu kwenda kuwinda mbuga za wanyama kwa leseni.

    Huwiiii, hivi jamani wachezaji wetu hawakuelewana lugha na kocha maximo au kwani walitumia lugha gani?

    walipocheza na brazil juzi inaonekana kama walipewa ishara ya kutokukaba kwani walinzi(defenders) walikuwa wanasindikiza kufunga goli.

    kwa hayo tu huyu kocha hafai. OP (old pensioner) ndo kocha wetu basi du hata tukifungwa tutamwonea huruma kumlaumu babu

    Mkulima 1

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 13, 2010

    hapa ni sawa na kuuza godolo halafu unaanza kulala chini,

    unauza kitanda halafu unaleta mkeka.

    unauza bunduki halafu unanunua kirungu kwenda kuwinda mbuga za wanyama kwa leseni.

    Huwiiii, hivi jamani wachezaji wetu hawakuelewana lugha na kocha maximo au kwani walitumia lugha gani?

    walipocheza na brazil juzi inaonekana kama walipewa ishara ya kutokukaba kwani walinzi(defenders) walikuwa wanasindikiza kufunga goli.

    kwa hayo tu huyu kocha hafai. OP (old pensioner) ndo kocha wetu basi du hata tukifungwa tutamwonea huruma kumlaumu babu

    Mkulima 1

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 13, 2010

    WENZETU HATA TIMU ZA LIGI ZA CHINI KABISA WANA TIMU KUANZIA MIAKA 6 yaani U-6,mpaka U-23,Ambao wanaitwa RESERVE:
    NA RESERVE NI LAZIMA WAFUNGUE KWA KUCHEZA KABLA YA MECHI YA WAKUBWA:

    Ukitaka kuhakikisha hilo angalia wasifu wa hao mastars wote wa Africa na Ulaya,Hawakuanzia Mchangani kama tunavyofikiri wengi wetu. Huko ndo waliko jifunzia Mpira.
    KOCHA WA TIMU YA TAIFA KAZI YAKE NI KU-ORGANISE A GROUP OF TALENTED PLAYERS NA SIYO KUFUNDISHA:kUFUNDISHWA ANAFUNDISHWA MTOTO SIYO HIYO MIBABA ILIYOKOMAA NA WALA HAISIKII:

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 13, 2010

    Kwa mtaji huu ni bora Maximo angebaki tu. Yaani nimesoma resume ya huyu kocha na naona kila alipoenda katimuliwa.

    Why kapata kazi? I don't know! Yale yale ya akina Karl Peters kutuingiza mikenge.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 13, 2010

    KWANI HAPO BONGO HAKUNA KOCHA MPAKA MLETE MZUNGU? NYIE HUYU ATAONGEA LUGHA GANI NA WACHEZAJI WETU AMBAO HAWAJUI KIZUNGU? MLIOMSEMA MAXIMO MTAKUJA LIA, MAANA WAKATI AMEISHAJUA KISWAHILI NA ANAWEZA KUWACHAMBA WACHEZAJI WETU VIZURI (wachezaji wanahitaji kuchambwa uwanjani ili wagangamale)KWA KISWAHILI NYIE MNATURUDISHA NYUMA, HIVI MMELOGWAA?

    sistaduu

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 13, 2010

    MSINILAUMU MIMI,MIMI NI MSHABIKI TU NA MTANZANIA KAMA WEWE.
    WAKUMLAUMU NI SUNDAY KAYUNI NA KAMATI YAKE YA UFUNDI ,HAWA NDIO WALIOMCHAGUA HUYU KOCHA.HIVI HAO WALIOMCHAGUA HUYU KOCHA NAO NI WASOMI KATIKA ELIMU YA DUNIA AU YA MICHEZO? HIVI MFANO MTU WA FRM 4 ANAWEZA MSAILI MTU MWENYE DIGRII MOJA?
    (MICHUZI USIIBANIE HII ,ITOE KAMA ILIVYO)

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 13, 2010

    Mnaosema bora enzi za Lunyamila, Maximo hafai kumbe mnaona tatizo. Kocha anapewa wachezaji dhaifu halafu mnategemea makombe.
    Namwonea huruma kocha huyu maana Maximo alipofika timu yetu ilikuwa hobela hobela kwa hiyo ilikuwa rahisi kuona maendeleo ya kiuchezaji. Kazi yake huyu ni kuendeleza tulipofikia...na patakuwa pagumu kweli maana wengine kama kina Rwanda nao wana programu endelevu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 13, 2010

    Kwanza kabisa mabadidiko makubwa sana yanahitajika TFF.

    Pili, tupatiwe wasifu wa hao wanne wengine walitemwa na tuelezwe kwa kina kwa nini huyu amestahili.

    Tatu, hivyo vitimu mnavyovitaja taja kuwa amewahi kufundisha havitusaidii chochote na wala msijidanganye. Ni sawa na mseme alipotoka Yanga akafundisha Mtibwa kisha akaenda kufundisha Mazengo. Baada ya hapo alifundisha Tusker ya Kenya kabla ya kurudi tena na kuifundisha Kagera Sugar. Au kwa vile ni majina ya kigeni???

    Nne, acheni kung'ang'ania vyeo wakati hamna hata nia njema kwa Watanzania, kuweni waungwana na muwaachie watendaji waingie na kufanya kazi yao ipaswavyo kwa niaba ya wananchi. Ni bora Maximo angeendelea, trust me.

    Tano, kwa vile mmeona Maximo hafai na huyu ndio anafaa, kamwe msisahau mchango wa Maximo kwa hayo aliyoweza kuyafanya kwa timu yetu. Mumuage kiungwana na kumkaribisha tena kuitembelea Tanzania au hata kuwa mshauri wa nje (sio mbaya kuanzisha cheo kipya), tena kwa kamati ya ufundi. Maximo anaipenda Tanzania, na hataitakia na wala kuishauri mabaya. Pia mumuambie anaweza kurudi nchini wakati wowote kuendeleza kipaji chake cha uigizaji wa filamu ambacho amekiibulia Tanzania.

    Na huo ndio Utanzania wetu.

    Mdau wa Canada.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 13, 2010

    huyu kocha kila anapokwenda hamalizi mwaka mmoja wanamfukuza kutokana na matokeo mabovu, TFF nao hawaeleweki maana walisema kocha mpya atayekuja ni lazima awe na uzoefu na mpira wa afrika, sasa hapa naona kigezo cha malipo kilichangia kufanya maamuzi

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 13, 2010

    Nyie mnayekazania Cv..
    Sasa leo Ghana imeshinda.
    Angalieni cv za(mserbia-Milovan Rajevac).hajawahi kufundisha timu yoyote kubwa unayoijua wewe.
    Na MAJEURI KAMA Muntari(KASEJA)BENCHI NA TIMU INASHINDA:
    soka wanafundishwa watoto.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 13, 2010

    ufanisi wa timu ni:
    1.wachezaji (aina yao)
    2.nchi husika (usiriaz)
    3.uongozi uliopo
    4.kocha

    God help us with this!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 14, 2010

    MPIRA NI WACHEZAJI SI KOCHA, SI UNAONA MORIHNO ANAVYOFANYA VIZURI NI KWA SABABU YA WACHEZAJI SI YEYE, SI UNAONA ENGLAND INAVYOBORONGA KATIKA WORLD CUP MIAKA YOTE TOKA 1966 NI WACHEZAJI SI KOCHA, HAWANA VIWANGO VYA KIMATAIFA, WANAJIDANGANYA NA LIGI YAO KWA VILE TU NI MOST BROADCASTED IN THE WORLD NDO MAANA TUNAONA KAMA ENGLAND INMPIRA SI KITU, MTU KAMA ROONEY HAWEZI KUCHEZA MPIRA WA KIMATAIFA, MUTAMUONA HADI WORLD CUP KAMA ATACHEZA ANAVYOCHEZA MAN-U THEY LACK INTERNATIONAL EXPOSURE, NI TIMU MBOVU KULIKO ZOTE KWENYE WORLD CUP HII NA ZILIZOPITA TOKA 1966. SO CHA MUHIMU NI WACHEZAJI

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 14, 2010

    TFF wamemchukua kwa kuzingatia vigezo vya bei poa na upatikanaji wake. Huyu kocha keshajichokea ndio maana dau lake liko chini sana kulinganisha na makocha wengine wanaoweza kazi

    ReplyDelete
  26. kama hiyo ndo cv yake bora tubaki na maximo.

    maximo, we will be missing you sir!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...