
An al-Qaeda-linked Somali militant group called Al Shabaab has confirmed on Monday that it carried out two bomb blasts that killed at least 74 people in Uganda's capital Kampala and threatened more attacks if the country kept its peacekeeping troops in Somalia. The attack hit an Ethiopian restaurant in Kampala, normally frequented by western expatriates. The crowds were watching the FIFA's Final World Cup match.
poleni sana ndugu zetu waganda ila na hawa washenzi tuwalaani
ReplyDeleteKUNA HABARI KUWA AL SHABAB WAMELIPUA MABOMU KOTOKANA NA KILE WALICHOSEMA 'KUCHUKIZWA NA SERIKALI YA UGANDA KUPELEKA MAJESHI YA KULINDA AMANI SOMALIA'
ReplyDeleteMIMI LANGU NI MOJA KWA SERIKALI YA YANGU YA TZ,IJIFUNZE KUTOKANA NA HILI NA IPUNGUZE KIHEREHERE HASA KINACHOONGOZWA NA MEMBE KUPELEKA MAJESHI KWENYE NCHI ZA WATU MARA TU WASIKIAPO KUNA VURUGU,SIYO LAZIMA KUWA WA KWANZA KISA ETI MAJESHI YA AU!! MATOKEO YAKE NDO KAMA HAYO WANAKUJA KULIPUA KWENU.
ISHU YA COMORO TU IMEFANYA TZ ISIELEWANE NA SA,ANKO KAMA HUJUI HILI FUATILIA UTAELEWA HADI KWANINI JUZIJUZI TZ ILITAKA KUJITOA SADC.
Well done Shebab..fight those African Crussaders bcoz they are slaves of American policy.Burundi you are next.
ReplyDeleteHawa wameyataka wenyewe kwa nini ukawauwe waislamu wa watu huko somalia,ukategemea wao wasije kulipiza katika uislamu na wajibu kulipiza hasa jambo hilo linapohusu damu ya Muislamu.Hili ni fundisho kwetu pia Tanzania.
ReplyDeleteAnonymous 3 na 4 nahisi siyo wazima nyie mnashangilia kupoteza maisha ya watu kisa mnashabikia udini?katika karne hii muache ujinga huo there is no need for you guys to support that they call al-shebab anyway hiyo ni mitazamo yenu
ReplyDeleteKweli nimeshindwa kuamini kuwa kuna watu wanatetea mauaji haya kwa vigezo vya udini! Please tell us you didn't mean it!
ReplyDeleteNafikiri ni jambo la busara na watu hawawezi kukushangaa kama hujui kitu ukanyaza ukawaachia wenye hoja wakajadili habari iliyopo hewani. Anon 3,4 msivamie mada bila kutafiti kwanza. Udini hauna nafasi inapotokea damu za binadamu zinamwagika bila sababu. Kilichofanyika Uganda ni ushenzi wa hali ya juu fikiri Watanzania ambao walikuwa wanatazama mpira pale viwanja vya Biafra na Mlimani City wangelipuliwa je ingekuwa furaha kwenu na dini yenu? Jaribu kuvaa viatu au ujiweke kama wewe ni victim.
ReplyDeleteHivi nyie mnaosapoti hao magaidi wa kisomali kwa udini....hamjui wameua na wanaendelea kuua waislamu wangapi huko kwao Somalia na hata hapo Uganda?. Na wanaosema Uganda wanakimbelembele....Please!!!. Tanzania inapaswa kusaidia nchi yoyote yenye vurugu panapo uwezo. Kwani walipolipua ubalozi nwa marekani Dar Tanzania walikuwa na kosa gani.
ReplyDeleteKwakweli waislamu tunapaswa kuwa wa kwanza kukemea uovu huo...tena kwa nguvu zote. God Bless Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Tanzania na rafiki zake.
Mwenye rehema nyingi muumba wa vyote...tunawaombea ndugu zetu hawa na familia zao wanaopitia majonzi mazito sasa kwa mauaji haya kwa watu wasio na hatia...
ReplyDeleteannon 3&4 kwa imani yetu basi tunawaua wale waliohusika hapo mf kama ni majeshi basi analipuliwa kamanda mkuu wa jeshi na oparation yake yote na above ni rais aliyepitisha hilo...SIO RAIA
apo ndo sielewagi kama quran yangu tukufu inasema niue wengine
hata siamini imetokea uganda baada ya balozi za kenya na Tz,east afrika tuko ktk hali tete sana ya kulipuliwa jamani!!!somalia ni majirani zetu mno...
Ninyi msioelewa siasa, hizo ni mbinu za Museveni kutafuta "common enemy" na ku-distract watu wake kwavile nchini kwake mambo yanashindikana...na kuna uchaguzi unakuja...marais sometimes wakiona kuwa mambo yanakuwa magumu nchini wanatafuta namna ya ku-draw attention ya wananchi kwenye kitu kingine....that's how politics works....! Simple and clear-MDAU-NYC
ReplyDelete........piga panapo uma,usichague! watatia akili wenyewe.Kihere here na kiranga kitakwisha tuu. Waulizeni wenzenu Waethiopia, ngoma ilikua inageuka Iraq yao, wakachomoa!sembuse nyie!?
ReplyDeleteNatoa pole kwa jamaa wote wa marehemu waliouawa pasi hatia.
ReplyDeleteYeyote anayeshabikia mauaji ya watu wasio na hatia hakika ni mgonjwa. Natamani ningewafahamu hawa wachangiaji ili niwasaidie na kuwaokoa kijamii na pengine kiroho.
we ANY 3 NA 4 HAO AL SHABAAB WANAUWA WASOMALI WENZAO HUKO SOMALIA KWANI HAO WASOMALI SIO WAISLAAM???
ReplyDeleteTATIZO NIKWAMBA WANATAKA KUWEKA UTAWALA WAKIISLAM WA KIDINI AMBAO UNAPENDELEA WAISLAAM TU JE?
TANZANIA LEO ISEME SISI NI NCHI YA KIKRISTO WAISLAMU NA WAHINDU NA WAPAGANI MTAJISIKIAJE???
DUNIA YA LEO SIO YA UDINI. NI DUNIA YA KUHESHIMIANA NA KUELEWANA MASWALA YA DINI NI MTU BINAFSI NA MUNGUWAKO.
KWANI KILA DINI INA MUNGUWAKE NDOMAANA MAFUNDISHO YA KILA DINI NI TOFAUTI.
MFANO
MUNGU WA WAKRISTO ANASEMA ANANAFSI TATU NA NIWE UPENDO.
NA MUNGU WA WAISLAAM ALLAH HANA NAFSI TATU NA NIWAAMANI .
WAHINDU WANAMIUNGU LUKUKI MPAKA NGOMBE
NA WAPAGANI WANAIMANIZAO NA WANAABUDU MIUNGUYAO
MASWALA YA KUZUKA NA KULAZIMISHA WATU WAFUATE UISLAMU AU UKRISTO KWAKUUWANA NI UWENDA WAZIMU NA UPUNGUFU WA AKILI.
KWAIMANI YANGU NAAMINI KUWA MUNGU SI DICTETOTR KATUPA UHURU WA KUMWABUDU NA KUFUATA ATAKAYO NA KANIPA UHURU WA KUWA MKAIDI ILA SIKU YA KIAMA NDO NTAKAPO HUKUMIWA.
MUNGUWANGU MIMI KANIAMBIA NIWE NA UPENDO KWA WATU WOWOTE WAWE WAKRISTO AU WAISLAM AU WAPAGANI NISIWAUWE WALA KUWALIPUWA MABOMU. ILIMRANI NI VIUMBE VYAKE BASI NISIVIDHURU INGAWA NINAWAJIBIKA KUWAVUTA WAMFUUATE.
TUJE SASA KWA AL-KAIDA NA AL-SHABAAB
MUNGU WAO ASEMA NI WA AMANI NAKUWA VIUMBE VYANGU RUKHUSA KUVIUWA KAMA HAVITAKI KUSLIMU.
WAFANYE WAWE WATUMWA AU WALIPE KODI KUBWA SANA,
WALAZIMISHE WASLIMU,
WAKIKATAA WAUWE KWA NJIA ZOZOTE ZILE MABOMU MITEGO YA PANYA SUMU HATA UKIJIRIPUWA ILIMRADI WAFE POA TU.
KWANI UTAENDA AHERA NA MABIKRA SABA WATAKUWA WANAKUSUBI.
HIYO NI MIFANO TU KUWA KILA DINI INA MUNGU TOFAUTI JAPOKUWA TUNADANGANYANA KUWA DINI ZOTE ZINAWAKILISHWA NA MUNGU MMOJA.
SIO KWELI ILA UKWELI NI KUWA WATU WOTE WAMEUMBWA NA MUNGU MMOJA AMBAYE ALIUMBA VITUVYOTE TUVIJUAVYO NA TUSIVYOJUWA.
ILA KASHESHE NI DINI GANI INAMUWAKILISHA MUUMBA HAPO NDO TUNAPOPATWA NA MITINDIO YA AKILI.
KWANI IBILISI HANA MASIHARA KESHAJIFANYA KUWA YEYE NDO MUNGU HAJIITI IBILISI ILA MUNGU NA TABIA ZAKE KESHAZIWEKA HAZARANI NA WATU WASHACHANGANYIKIWA WAMESHIKILIA WANACHOAMINI NA SHWETWANI KESAHAWAFUNGA AKILI.
NDO MAANA KILA DINI, MUNGU WAKE ANASELA LAKE TOFAUTI NA MUNGU WA DINI NYINGINE.
MTEGO MKUBWA HAPA NI KUWA
IBILISI ANADAI YEYE NI MUNGU ILA SIKUZOTE TABIA HAIJIFICHI HAPO NDO UTAKAPO JUWA FEKI NI YUPI.
KWANI IBILISI ANATAKA AWE NA WAFUASI WENGI NA MUNGU KESHA SEMA NA ANAJUWA KUWA WAFUASI WAKE SIO LUKUKI NDOMAANA AKASEMA KUNANJIA MBILI PANA NA NYEMBAMBA YA KWENDA KWA MUNGU NI NYEMBAMBA NA YA IBILISI NI PANA AKIJUWA IBILISI ATAPATA WAFUASI WENGI TU.
KWANI IBILISI ATAKOPI MAFUNDISHO KAMA YA MUNGU WA KWELI HALAFU ATAWEKA KAUONGO KWA KUWATUMIA WATU KUTIMIZA MATAKWA YAKE.
SISHAMBULII DINI YOYOTE KWANI HAKUNA DINI ILIYO KAMILIKA SIWAKRISTO AU WAISLAMU KILA DINI ZIMEJAA MACHAFUKO YA KUPENDA PESA MADARAKA..
DINI YA KWELI NI WEWE NA MUNGUWAKO BINAFSI
DINI NI SEHEMU YA KUELIMISHANA KUMJUWA MUNGU.
KUWA MKRISTO AU MUISLAMU HAIMAANISHI KUWA UTAKWENDA PEPONI .
CHA MAANA NI WEWE KUMFUATA MUNGU WA KWELI NA KUMTII.
MUNGU KATUPA AKILINA UFAHAMU WA KUNJUWA ZURI NA BAYA
SWALI;
JE KUWAUWA WATU KWA MABOMU NI VIZURI AU VIBAYA?
JIBU LAKO NDO LITAKALOKUJULISHA MUNGUWAKO NI YUPI.
Wadau..Uganda is part of East Africa and we better be in the state of mind that we have all been attacked. I will not delve in to the reasons that got us here but you can use anon 3,4 as to the type of people we are dealing with.
ReplyDeleteWadau..Uganda is part of East Africa and we better be in the state of mind that we have all been attacked. I will not delve in to the reasons that got us here but you can use anon 3,4 as to the type of people we are dealing with.
ReplyDelete--
Mdau X
pole zao na wapunguze viherehere, inaonyesha kuwa hawa ug wanaua ndugu zao, sasa wamekuja lipizia na wao waone utamu , kwani wale wanaowaua huko samalia hawana damu na nyama? ndio waache kuingilia ishu za watu na wamesema wasipoacha watarudi tena sasa mnataka tuwape pole bila kuwakanya? hata sie kiherehere kilipozidi sana kuwalamaba wamerekani, bin laden alifanya nini embassy?
ReplyDeleteJamani....This is serious!!!. Tanzania, Kenya, and Uganda are united now. Take it as...WE have been attacked by somewhat one of our own. Somalia is on the East of Africa also. Sina maana kuwa ni vita ya Somalia as a whole against us....lakini it's our common enemy from Somalia.
ReplyDeleteComments za watu wanaochochea udini, na kusapoti haya mauaji zichukuliwe seriously....especially ukizingatia these attacks happened only a few days baada ya maandamano makubwa mnazi mmoja yaliyokuwa na mabango "HATA KWA JIHADI".
It's all in their brains people....You Think, and therefore You Are...and you act as you are. Watu wamejazwa chuki na uchochezi akilini mwao kutoka kwa aina ya watu fulani wasio na lengo zuri.
Tanzania inabidi tuwe alert...all the time. 74 lives have been lost!!. These are human people, with famiies, dreams, hopes....wives, kids, lovers, emotions....and yes religions perhaps.
I quote: QURAN--
"Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi."--Qur'an 5:32.
Binaadamu nature yake ni kuwa mtu mwema....hata asiye na dini, na ukisikiliza roho yako, hata usipokuwa na dini roho itakuongoza. Je, unataka kuokoa maisha au kuangamiza maisha ya watu?
Choose Life. Choose Peace. Choose Love.
By the way...Mimi ni mwislam.