Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2010

    Kajux ninachompendea ni jinsi anavyowapelekesha wazungu mbio. Lazima wamsikilize tu. Peta mtu wangu Kajux.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    KWELI HUYU NI FIGHTER, HATA KITU KIWE KIBAYA NA KINACHEKESHA ILA YEYE HAKATI TAMAA WALA UOGA WA KUKIWEKA HEWANI.LOL!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2010

    huyu Jamaa si kuna kipindi alikujaga na mavumba ya kufa mtu bongo mie nikajua jamaa ndo ntolee tena hawezi kushuka tena kwenye hali zetu?! Kweli pesa kiboko. Haya na mwenzake wa Uk naye ajiweke tayari,anyejisifiaga na kujinada kwenye magazeti kuwa mavumba yapo(JAck Pemba).

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2010

    MBWENU IWE, FOR THAT LONG TIME IN AMERIKA!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2010

    Guys listed one of the videos in there especially the one he talks unbelievable!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2010

    Bwana au ndugu Kajumulo sorry for saying that, hapo hakuna nyimfo acha longolongo tafuta kazi ya maana ufanye najua unajitahidi sana kutafuta muelekeo, kwa hilo nakupa love ila sio football wala music sio fani yako unazingua tena sana hususani hii nyimbo, hata zile nyimbo za amina kadala snow wear zina hafadhali. jaribu siasa maana uwongo hapo kwako mwisho. mdau mji wa kusoma ukerewe

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 25, 2010

    He's having fun as he does it all the time, yeah man!!.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 25, 2010

    mjomba anajua kuwashika wazungu masikio!! lakini tuacheni huongo jama is far better na nyie mnaye mkanda!!mtasema lakini jamaa ana njaa kwama wengi wenu humu !!KAMUA BABA KAMUA BABA

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 25, 2010

    Huyu jamaa kuna wakati alikua benet sana na Jamuhuri Kiwelu aka Julio. Yuko wapi siku hizi Julio? Hasikiki kabisa na simuoni katika clip. Julio usipotee hivyo mashabiki wako bado tunakuhitaji.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 25, 2010

    Who is Alex Kajumulo, please go to www.babukaju.com:
    A sort of 'philanthropist', ex- professional footballer in France,head of many foundations.

    Non-profit environmental agencies around the world, like the New Zealand Trust for Conservation Volunteers, the Audubon Society of Central Oklahoma, the Earth Charter Youth Initiative, and The Climate Project have been using Alex’s song “Global Warming” from the Bushman Vision album in their promotional campaigns. Alex recently (Fall 2009) performed “Global Warming” and other songs at the Green Festival in San Francisco and has been invited to perform at the 2010 Green Festival in Seattle.

    In 2010, Alex began performing with his new 9 member music ensemble. This line-up includes of some of Seattle's most accomplished Jazz, Rock, Funk, Reggae, and Studio musicians. For their first show they headlined a benefit concert at the prestigious Triple Door in Seattle, WA to support the Red Cross Haiti Earthquake Relief Fund. From this show, Alex released his first live single, “One Love is the Law, now available in digital distribution. Here in Western Washington, Alex’s songs are played on KEXP, KUBE, KBCS (Bellevue Community College), KAOS (Evergreen State College), KYIZ (1620 am) and KUGS (Western Washington University). On April 16, 2009, Alex and three members of his band were featured on the Seattle Cable Channel show, "ArtZone with Nancy Guppy". In Canada, Alex’s songs were in the top 10 earshot! World music charts for almost half the year and Alex’s compilation album, Bushman: Since the Beginning of Time, reached the overall top 30 charts of a number of Canadian college radio stations as reported by earshot!. Ed Mays Productions, has produced two one hour documentaries on Alex Kajumulo and his music for Pirate TV. Both can be found on the Pirate TV website and have been aired on public access cable channel 77 in the Seattle area.www.babukaju.com

    Do the list is long! go on Kaju, Nabii hakubaliki nyumbani kwao.
    Mdau
    Honolulu, Visiwani Pasifiki.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 25, 2010

    Alex Kajumulo nimesoma mavitu yako na nasaha zako kuhusu nini ni maisha, kwa nini binadamu lazima kufanya vitu kwa ajili ya kuboresha hii jamii yetu na dunia. katika www. babukaju.com
    Mdau
    Bandarini.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 25, 2010

    I like Kajumulo kwasababu ni mtu anayeishi maisha ambayo wengi wetu Watanzania tumeishindwa yeye kwakwe kitu cha kwanza ni social justice, hata miziki yake mingi iko kihivyo, ni mtanzania kati ya wote wanaoishi nje ya nchi asiyekuwa na mbwembwe, yeye kwake kazi ni kazi tu.Huyu kijana yuko mbali sana ni mtu anyeweza biashara kwa mfano ukiangalia kwenye hii clip, kuna mahala ameweka mpira mguuni huku akionyesha mpira ule umetengenezwa na kajumulo world soccer, hivyo kama kuna nchi au makampuni au timu za mpira zinataka order huyu atauza mpira wake, je nyie mnaokandia hakuna hata mmoja mwenye idea ya namna hiyo, watanzania wenzangu nyie ni watu wa kukandia kila kila lakini kumbuka kajumulo anajua anafanya nini hasingeweza kuajili wanamuziki wote walw wazungu na kuwalipa bila kupata kitu, ukiangalia kwenye clips wale wazungu sio wehu wanajua wanalipwa na boss wao anapata faida ya kutosha, kweli naipenda miziki yake na hizi karibuni katoa kbao cha Bongo legend, hiki kinamtukuza mwalimu Nyerere, je wangapi mmefanya hivyo? Nakumbuka kajumulo alifungua duka lake pale nkruma street, alikuwa anauza nguo na lebel yake lakini mlikataa kununua nguo zile na kukimbilia kununua lee, levis, na n.k,lakini brands zake mlizikataa na zilikuwa quality kuliko za kariakoo. Nafikiri watu wote mnaokandia ni wale ambao hamuwezi kufanya kitu chochote. Sasa lipi jema kajumulo naye aanze kuiba isurance hapo marekani au kuiba cred cards na kuiba magari na kuuza Tanzania? make watu wa namna hii ndiyo wanapendwa na jamii ya kitanzania.
    Ndugu zangu ongea na Kaju awambie jinsi ya kufanya biashara kukandia siyo jawabu kwenu kwani yeye yuko mbali sana.
    Mdau

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 25, 2010

    Aktuale he is faa machi beta kuliko mnao mponda angalau hata anapiga muziki wa live na watu wana msikiliza, nyie mtampndaweee mnabakia hapo hapo na njaa zenu na mapromota feki na kuliwa hela na wahindi Oleee Oleee Kajumula kufilisika kila mtu lazima afilisike at some point sijawahi kusikia mtu kapanda asishuke angalau hatua mbili tatu miti huteleza jamani

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 26, 2010

    Afadhali watu wanaojua kajumulo anafanya nini, na mziki wake unaelekea wapi, huu ni mziki wa kimataifa na hii inatokana kajumulo japo ni mtanzania au mweusi wazungu wanamuelewa sana kwani amekaa nao muda mrefu bila kufanya uhalifu wowote, just why they trust him, nikiwa na maana kupewa watoto wale wawe kwenye clips hile, sio rahisi mzungu aachie mtoto wake kwenda kwa mtu asiye mjua hili mnalijua. Watu wanasema hawezi kuimba siku hizi huitaji kuwa na sauti kama ya bitchuka unaweza k=tumia mashine ukwa na sauti uipendayo, lakini ukimsikiliza kajumulo kwenye miziki yake yote hukose neno Original sound yaani manake hakibadiriki kitu hapo ni sauti kutoka Muleba Kagera, jamani kubali au semeni hivi WAHATA WAJANJA WA KUTAFUTA HELA,sasa tuulize tunafanyaje?mkiuliza tutawambia. Iwe mukuru kajumulo pakasa. Ankal tunamjua kajumulo ni mtu wa kutomboka tomboka.
    Mdau

    ReplyDelete
  15. Hadj Drogba "mwana chelsea"July 26, 2010

    ALEX NJAA ANAIWEZA.....SI UTANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...