Big Brother All Stars housemates enter house
wa uzinduzi wa Big Brother All Stars




Most read Swahili blog on earth
Big Brother All Stars housemates enter house
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal natamani sasa kukuona ulivyokuwa unaoga humo ndani bwana. Ama Biggie ametubania?
ReplyDeleteHongera Ankal kwa kuweza ku-enjoy walau kwa siku moja humo mjengoni. Tabu yangu Ankal ni hako kafulana ka bwawa la maini ulikokavaa ndani ya koti hakabanduki toka ulipoenda Bondeni! Hivi Ankal ungevaa fulana ya Mlima Kilimanjaro si ungetusaidia kukuza utalii wa Bongo!
ReplyDeletewewe mdau wa Tue Jul 20, 06:45:00 AM unaetaka uncle avae fulana ya kuutangaza mlima kilimanjaro uhali gani?
ReplyDeleteuncle anavaa jezi hiyo kwa hiyari yake na kwa upendo wa timu yake. Ikiwa tanzania inamtaka yeye au yeyote awatangazie kilimanjaro au lolote lile basi na mumlipe.
umeona wapi watu watumiwa kutangaza kwa bure? Michu ni mtu maarufu na tanzania kama wanataka kuutumia umaarufu wake basi ni lazima wampe malipo!
daah kweli unajua ankal kuvaa hujui jitahidi kupata ushauri kwa watu huoni tofauti na wenzako
ReplyDeleteni kweli badala ya kuvaa mt.kilimanjaro,ruaha national park nk
ReplyDeleteeti bwawa la maini?ovyooooooo
mnajuaje labda standard charted bank wamemlipa
ReplyDeleteTatiana kujishebedua kwingi mpaka aibu kutizama.
ReplyDeleteNinasoma na waangola kujishebedua ndo kazi yao! .Hata mkiwa wote sehem hua wanataka kuonekana kama wao ndo wao kama huyohuyo Tatiana. m2 mzima ovyoooooooooooo..hata mie kanichefua!!!!!!!
ReplyDeleteRe: "Tatiana kujishebedua kwingi mpaka aibu kutizama".
ReplyDeleteHajajishebedua, she was just being friendly. Wanawake wa nchi tofauti wana act tofauti. Huoni kuwa yeye ndio alichangamsha nyumba? Zaidi ya Tatiana na huyo mwingine, ni kama kulikuwa na wasichana wawili tu.
Wewe Mdau wa July,20,3:32 utambue na uelewe si kila kitu kizuri unachoifanyia nchi yako ni lazima wewe mwenyewe mhusika upate basi hiyo faida. Ingalikuwa kama ni hivyo usingeikuta Tanzania hii ya leo. Inabidi kila tunapopata forum ya kuonekana kimataifa na hasa ukiwa Public Figure kama Michuzi uwarejeshee angalau kidogo watanzania kwa huo umaarufu waliokupatia.Unamwona Mwisho Mwampamba alivyotinga na mambo ya kimasai hayo ndiyo mambo yanatakiwa.Angetaka angeweza kupiga uzi wa Arsenal au Man Utd lakini inamsaidia nani? Kuna wakati wake wa kuvaa hivyo vitu! Lakini siyo katika Forum ambayo macho ya Afrika au Dunia yote yanakodolea BBA.Tubadilike Watanzania! Pale BBA mjengoni siyo barabarani au mtaani jamani wala siyo kwenye Bar.Angalau Ankal ungefanya promo ya Blog yako kwa kuvaa zile Tshirts zenye jina la Blog yako.
ReplyDeleteAnkal hongera lakini punguza show off wewe mtu mzima sasa mambo mengine yapaswa uwaachie wanao. huoni aibu kupigana mieleka na wanao kila uendako.loh
ReplyDelete