Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    tunashukuru ankol kwa taarifa kama hizi. tunaomba ikiwezekana uwe unatuwekea kila baada ya siku 2. sie waughaibuni inatusaidia. Nashukuru sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    Dolaman,
    Naona U.S Dollar inazidi kupaa tu. Euro inazidi kudidimia. Na leo naona Moodys wame downgrade Portugal so Euro inazidi kuzama. Most likely European Union itavunjia within 5 years. Spain nao wako miguu juu. Greece ndio usisema. Italy will be next.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2010

    Hii inaonyesha jinsi gani Benki kuu ya Tanzania inavyoshindwa kazi. Yaani nchi inaachia tuu makampuni ya dhahabu kuuza nje na kuweka fedha zao huko huko haziingii nchini ili tuwe na dola nyingi kwenye soko la ndani na kuzuia dola isipande ovyo. Tanzania kweli inaelekea kubaya. Tungeweza kuyabana makampuni ya madini yakaweka hata nusu tuu ya dola zao za mauzo yao kwenye mabenki ya ndani dola isingepanda kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...