Madame Rita Paulse wa Benchmark Productions akitangaza mchana huu jijini Dar kuanza kwa msako wa wenye vipaji wataoshindana katika Bongo Star Search ya mwaka huu. Ratiba ni kama ilivyotundikwa hapa chini



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    it will not be country representative if people from southern regions especially mbeya are not given opportunity to participate, i totally disagree with this year BSS

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    DU! afadhali tupate cha kuangalia ITV maana now-dayS hamna jipya ukizingatia WORLD CUP "HOZA" imeisha ingawa ITV wako nyuma sana hata wameshindwa kutupa LIVE or RECORDED jamani. Mzee Mengi upooo au umebezi kwenye kutoa misaada tuu........! Madam Rirtha UPO JUU MAMA, LOVE U DIA.

    Mpenzi wa ITV

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    sasa hiyo sm si ungetoa hapo ya bei nafuu sana kama md sm ya tochi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2010

    Anony Tue Jul 13, 05:37:00 PM, watu wenye hela kama Madam Rita hawasumbuki na simu za bei mbaya ila wakuchoka kama wewe ndo huwa zinakupeleka mbio! Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2010

    Sasa hapo alipo ni ofisini kwake au dinning nyumbani kwake? Manake naona meza nyeupeeee....? Vipi madam?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2010

    Wakati umeenda wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...