JINA: BENEDICT LUKOMORWAASILI: SINGIDA ametoweka na kiasi kikubwa cha fedha za mwajiri wake hoteli ya Neptune pwani beach resort Zanzibar usiku wa tarehe 21/7/2010. yeyote mwenye habari zake au kumuona atoe taarifa kituo kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye kwa kumbukumbu namba MKO/RB 919/2010
JINA: JAKOB JOHN KILOASILI: TANGA ametoweka na kiasi kikubwa cha fedha za mwajiri wake hoteli Kendwa rocks Zanzibar na kesi yake kuandikishwa katika kituo cha polisi Nungwi Zanzibar namba NUN/RB 400/2010 ya tarehe 30/3/2010. Unaombwa kutoa taarifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2010

    Mhhh, hayo yenyewe ya kisanii, washasepa hao

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2010

    mmengangania kiasi kikubwa cha hela tangazeni dau watu waanze kazi.

    ReplyDelete
  3. HILI NI JANGA LA KUJITAKIA.
    WAZENJI MNAFAHAMU WABONGO NI MAJAMBAZI TU!KAZI HUKO KWAO NI KUUWANA,KUCHINJANA NA KUIBIANA SASA MNAWAPA NAFASI WATAKAZO WEZA KUONA HELA ZINAWEKWA WAPI,WASIIBE?

    HAWA KAZI YAO IWAFAAYO NI KUVISHWA MAGUO YA KIMASAI WAKAWA WALINZI.BASI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2010

    Aisee mangi, hawa watu ni kabila gani ati? kweri ela ni noma!!

    ReplyDelete
  5. Sedouf it seems to me you have very low IQ,like most Zanzibari youth you flabbergasted me! Doh unajiaibisha sana kwa sababu elimu yako na uelewa wako ni m'bovu kwa kiasi kikubwa, kiufupi hizi ni zama za Globalisation, Job markets inazingatia Talent and qualifications, wenye haya mahoteli ni Investors toka ng'ambo na wanaendesha biashara kifaida, wanaajiri kwa kuzingatia ufanisi na uwezo/taaluma ya muajiriwa sio eti kwa vile Seduof ni Mpemba ndio apewe kazi, yale mambo ya mtoto wa mjomba yamepitwa na wakati, kuna Wazenji kibao walopiga buku wameajiriwa sehemu kama hizi, ushauri wangu bado time unayo, biga buku na sio kutwa wewe basi msn na michuzi, kwa sababu dhahiri inaonesha elimu yako duni sana. Elimu kwa maisha ya sasa ni lazima venginevo utabaki kijiweni ukilalama ama Ami akichukuwa UK utaishia kupiga mopu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2010

    SEDOUF ACHA UZANZIBARI WAKO UMESHAPITWA NA WAKATI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2010

    huyu sedouf comment zake nyingi ni za kibaguzi sana ni mkabila na mdini ovyo sana, mdau hapo juu naungana na wewe ki IQ chake ni kifinyu sana ana mambo ya ki alqaeda period!!

    ReplyDelete
  8. HIVI HILO LIJI2 LINALOJIITA MAJINA YA WA2 HAMJALIZOEA 2... IQ YAKE CO NDOGO 2 BALI NI ZAID YA NDOGO..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...