Home
Unlabelled
Mdau Isaac na Isabell wameremeta Sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
me simo!!
ReplyDeleteoyaaa vp toto la kitasha? amependeza kweli. mpeni email yangu dolaman@gmail.com
ReplyDeleteSafi sana kaka isaac, achana na mademu wakibongo wazushi watupu. Hapo kaka unakula makaratasi kiwima wima ka huna akili nzuri vile..Big Up My Bodha
ReplyDeletePAPERS INNIT?
ReplyDeleteNina swali kwa wabeba boksi wooote.
ReplyDeleteHivi mbona mlipokuwa bado Bongo mlikuwa mkitamani wasichana wenye figure ndogo, na mkienda huko mnabadilika!!!!??? Au kuna siri? Niambieni wajemeni.
Nkyabo - Bongo
wabongo bana mi awasifia sana wao wanatafuta usalama wa maisha yao tu. hao mabonge lazima wana mshio la sivyo mhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteMwamgogwa hongera sana kwa kujipatia mke mwema.Kyala akutulege nkamu.
ReplyDeleteUmependeza sana na nawatakia maisha mema yenye baraka tele.
Mdau USA
Kaka wa 5:18pm . Ndugu yangu tukifika huku tukitaka wathungu ndio hivyo tunaishia kwa left over! au wale ambao hata wenyewe hawawataki sasa wakina sisi ndio tunaupatia ndi maana hautuoni na wakina britney spears au vipotabo. Si unajua tena saa nyingine Makaratasi inabidi ufumbe macho au ndio hivyo tena hao vipotable dau kubwa kwahiyo masalio ndio yetu.
ReplyDeleteMdau Nkyabo...Baada ya kufikiria sana swali lako huku nikila Kuku na bia ya Heineken , napenda kukujibu sasa:
ReplyDelete1. Tulivyokua bongo mademu walikuwa hawali vizuri, ndio maana walikuwa wamekonda. Huku wanakula vizuri. Marekani, asilimia 70 ya wananchi ni vibonge. Ulaya labda asilimia 40 au 50. Kwa kifupi, wanakula vizuri. No, No, No, sio kula vila, ila chakula kizuri tu.
So kwa kifupi, tumeridhika sana na maisha. Pepa zipo, kazi za kumwaga, tunasomeshwa na kulishwa.
Njaa hamna. Vipi Bongo, bado mnakonda na malaria? Vumbi je? imepungua? Mna barabara ngapi mlizozitengeneza wenyewe? Mwaka huu vile vile tutatuma misaada kama kawaida kwa kuwa hatuoni hali yenu kuwa vizuri karne hii. Sasa acha pombe na kafanye kazi.
PS.. ukitaka viza ya kuja hapa, tuma email (kissmyass@yahoo.com), nitakusponsa. Vijipasipoti venu vina shida sana. Haya mdau, mie naenda kulala, demu wangu kibonge anataka mavituz ya Kibongo bongo. Usikonde wala nini. Ndio maisha.
Hongera kaka its all about love. Huwezi kupenda aliye mbali. Sifa ya kuwa wapenzi ni wawili kuwa na ukaribu, kisha wakajenga hisia baina yao,ikifuatiwa na kuzungumza kuhusu zizungumzavyo nafsi. kinachofuata ni kama muwaonavyo wawili hao.
ReplyDeletekweli aisee, mbona kila mmbongo huwa ananyanyuka na ngoma nzito na sio vipotabo tena... au ndo style ya mamtoni?
ReplyDeleteNkyabo,
ReplyDeleteEbanae, mi' nadhani baridi la huko ndilo linawalazimisha kuchukua wasichana ambao (kwenye blog hii) wanaonekana wana maumbile makubwa.
Bongo joto. Shuka unatupa pembeni.
Huko ni baridi, unahitaji blanketi, mito na mwili wenye mafuta karibu! (No pun intended at all!)
MAIWAIFUU WA JAMAA NI MZURI LAKINI MWEEE MIMI NAWAZA SAANA APA JAMAA AKILETA MCHEZOO AWE NA AMBULANCE MAANA..........WEWE MWENYEWE UNAONA
ReplyDeleteUgali unadumaza ndo maana mnaona watu ni wakubwa. Mpambe wa Bibi harusi ni mwembamba lakini mbona naye anaonekana ni mkubwa kulinganisha na bwana harusi na mpambe wake.
ReplyDeleteKAKA YANGU SIKUJUI WALA HUNIJUI KAA NA NDOA YAKO MKEWAKO MZURI WE NDO UNAJUA MI SIONI UNENE UNENE WAKE WAKAWAIDA USISIKILIZE WAKOSAJI WANAOPIGWA NAVUMBI WANAKUONEA WIVU.""KAOE BONGO UNGEOA FAMILIA NZIMA"" MZUNGU HANA WEGAZI(MAJUKUMU) ...... HONGERA SAAANA MPENDEZA.
ReplyDeleteMDAU KWELI NOMA KAJIFUNGULIA NA BLOG YAKE KABISA!! HILA MWANA HATA WAKICHONGA UMEWAPIGA BAO !WEWE BONGO UNAKWENDA KUCHEKI WANYAMA TU THEN UNA RETURN BACK !! SAFI SANA WALE MA COSTUME WA AIRPORT WANOKO SANA !!BORA SASA
ReplyDeleteNashukuru wadau wa Mon Jul 26, 07:12:00 PM na Mon Jul 26, 07:05:00 PM somo nimelipata. Nafikiri tatizo lililopo ni la kutokujiamini zaidi (lack of confidence), wabongo wengi ni handsome na miili yao si mikubwa sana, ila ni waoga!! Mbona wanigeria wanaweza kuwa na 'freedom of choice', kwa nini tusiwe sisi. Mimi nategemea kuingia US mwakani nataka nifanye mabadiliko.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
waungwana hapo juu,napenda kujibu maswali yenu kama ifuatavyo
ReplyDelete1.sio kila anayeoa demu wa nje ni anafata makaratasi tuu.
2.mademu vibonge hizo mimi ndio style zangu toka long time wanaonijua watakuelewesha vizuri,ndio maana nimeoa mke bonge vilevile
3.hao blonde na wembamba mnaoseema wapo na wanapatikana sana lakini angalia je wanataka kuishi na mtu ama kuolewa?jibu ni no,wanataka kula maisha na waaafrika wauza sura huku ni kama utitiri kama ni wanaume weusi huku afrika nzima ipo.kuna waafrika kuanzia toka south afrika mpaka morroco kwahiyo wanawabadilisha wanavyotaka,kumbuka bara lote la afrika sasa wanataka kuishi ulaya,kuna wagambia huku,kuna wanigeria yaani kila taifa la afrika unalolijua wewe wapo huku na wanatafuta hao hao wanawake mnaotaja na hawawapati wanaishia kuchukua vibibi na mashugamami toka afrika.
mwisho we unayeona rahisi kupata mwanamke unayemtaka huku njoo tu unakaribishwa kisha utupe report kama hujakiri kwamba umeishia kupiga konoozzz na rayz kwa wiingi.
HABARI NDIO HIYO.
na mdau uliyesema mpaka nimefungua blog,blog ilikuwepo toka mwaka jana unaweza ukahakikisha kwenye archive,na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa VITUUZ.NING.COM.
ReplyDelete