Home
Unlabelled
darren na blessing wanawakawaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watoto wamependeza ila next time muwavalishe nguo size yao na si XL
ReplyDeleteWee anonymous wa kwanza acha vijimamboz.
ReplyDeleteWatoto wamependeza! Mungu awabariki.
Anonymous Thu Jul 15, 01:35:00 AM nakubaliana nawe next time msiwavalishe XXXL (atakua nayo - hii kitu ipo sana kwa mwafrika),VINGINEVYO WAMEPENDEZA,WAZAZI HONGERENI KWA KUWAANDAA WATOTO KUWA WAKRISTU WAZURI.
ReplyDeleteMdau Netherlands
Si unajua tena za kibongo bongo XL watavaa miaka mingi,
ReplyDeletehiyo imependeza kinoma kaka, naona huko na "take it from me", successfull ankle
ReplyDeleteJamani majina!!!
ReplyDeleteKwa kweli waTanzania tuachane na ulimbukeni wa majina ya kizungu, imepitwa na wakati!! Huyo Blessing angeitwa Baraka au jina hilo kwa lugha ya kiKurya/Jaluo ingebadilisha maana yake?
Tena kwa nyie wazazi mnaoishi nje ya nchi walau mnakutana na waAfrika wengine, haswa wa Afrika Magharibi wao hutumia majina ya kikwao.
Mungu awaongoze watoto wenu wakue katika uchaji na wawe na mafanikio, Amen
Mimi ningependekeza Ankal upunguze kutuwekea hizi habari za kibinafsi na uzidi kutuwekea habari zenye manufaa kwa jamii yote, naona hizi harusi, kitchen party, ubatizo etc ni personal na afadhali uzitenge kwenye Blog tofauti. Zimeshakuwa zinazidi na kujaza ukurasa na zinachukuwa nafasi.
ReplyDeleteWengi tunavutwa kwenye blog ya jamii kupata habari zaidi za yaliyojiri Tanzania naamini kuna matukio mengi tu kila siku.
watoto hukua haraka wangepew nguo size yao completly nusu mwaka haziwatoshi for your information. wamependeza watoto.
ReplyDeleteUTAMBULISHO: Ni Mrs Happy Wambura - Nicholaus au Mrs Happy Nicholaus - Wambura?
ReplyDeletehizo taxedos a.k.a suits ni over sized kwa hao watoto,mngeenda mpimishe sio kuzoa tu kwenye swap meet market au garage sell
ReplyDeleteanonim wa kwana, shida ipo wapi? watakuwa nazo!!!
ReplyDeleteMambo siku hizi ni xl na sio nguo za michael jackson na kumbukeni hao ni watoto na hizo nguo watazitumia kwenye first communion
ReplyDeletewow,2 cuties.
ReplyDeleteHaswaaa, watoto wamependeza lakini wangependeza zaidi kama wangevaa nguo size zao na sio XL. Mambo ya nguo za bajeti hata mamtoni jamani? Eti bora tuchukue kubwa maana atakua nayo!
ReplyDelete