JK AKIMPONGEZA DK. GHALIB BILALI
DK. GHALIB BILALI AKIPONGEZWA NA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU. KATI NI MH. FREDERICK SUMAYE

MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA KUSHAURIANA NA KAMATI KUU YA CCM, AMEMTEUA DK. GHALIB BILALI KUWA MGOMBEA MWENZA KWA TIKETI YA CCM KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2010

    Hongera Kwa mr. Bilal, Wasiompenda poleni. Hii yote ni siasa jinsi unavyojipanga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    wataalam wa body language, tafadhalini tuwekeeni hadharani taswira ya pich hizi
    mkereketwa zenj

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2010

    FREDRICK SUMAYE YEYE AMEELEKEZA NGUVU ZAKE MWAKA 2015 KWENYE UCHAGUZI WA RAIS BAADA YA JK KUMALIZA MUDA WAKE.

    KUANZIA SASA CCM KUTAKUWA NI MAPAMBANO YA NDANI KWA NDANI MPAKA IFAKAPO MWAKA 2015.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    Sema kaka habari ya hasubui! mbona ujaturushia hiyo habari ya Uganda kuhusu mlipuko wa bomu ulioua watu kibao?

    ReplyDelete
  5. Ingawa hakuwezi kubadilika chochote lakini natoa dukuduku langu toka moyoni kwamba JK amewaangusha wanawake tofauti na kauli yake ya awli kwamba hatawaangusha. Matarajio yangu yalikuwa ni kuona sasa nafasi ya makamu inashikwa na mwanamke, na naamini tunao wengi tu visiwani. Wapo wale wanaomsaidia Rais karume kwa sasa, na wengineo akina Zakhia meghji, Fatuma said Ally, Amina Salum Ally, Maua Abeid daftari. Sikuona manitiki ya kumpatia Dk. Mohamed Ghalib Billal nafasi hiyo kwa sasa kwani walau JK angeonyesha dunia kwamba kweli dhamira ya kuwainua wanawake ipo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2010

    CCM WANAJUA KUJIPANGA.

    ANKAL TAFADHALI EDIT KAZI BWANA MAMBO YA KUHARIBIANA MAJINA - ANAITWA DK. GHARIB BILAL NA SIO GHALIB BILALI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2010

    HEKO, HAPO JK KAONESHA UKOMAVU WA KISIASA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2010

    Tanzania tuna itaji vijana si wazee. ndo mana hatuendelei...Nchi gani ya nje ina vikongwe kwenye ngazi za juu..?
    Africa peke yake ndo unaona wazee kabisa wanashikilia nafasi za juu juu..wao wanatakiwa kuwa washauri tu na si kuongoza nchi.nguvu za utendaji kazi si kali kama za mtu mwenye miaka 40-55.
    30's,40's and 50's ndo wawe madarakani,wachache 60's...!wawe wanahesabika.
    Mdau,
    Usa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2010

    Nimekumbuka msemo kuwa viwango hutegemea mapenzi ya watumiaji. Kama wewe unadhani kitu fulani hakikufikia kiwango basi ni kwa kiwango chako wewe sio cha watumiaji waliochagua. Bila shaka kuwa Bilali ataongeza nguvu za kutuongoza katika jitihada za kupata maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2010

    HONGERA DR.BILAL HAKUNA ASIYEJUA KUWA WEWE NI KICHWA GINIUS WAMEKUNYIMA URAISI KWA MAKUSUDI MAANA WANAJUA KUWA UNGEWALETEA MAENDELEO WANZANZIBAR NA WEWE NI MTU MWENYE MSIMAMO ULISOMA DARASANI UKAELEWA HUKUKARIRI UMEELIMIKA!!UNG EWAPINGA MAFISADI ILA RAISI KIKWETE NADHANI ALIKUWA ANAKUHITAJI MAANA ANAUJUA UTENDAJI WAKO!!UNGANA NAE MAANA KIKWETE NI MPAMBANAJI NDIYO MAANA AMEKUHITAJI NASI VINGINEVYO TUNAWAUNGA MKONO KTK KILA HALI!!
    UKITAKA KUJUA KUWA BILALI NI MZALENDO HUYU NI MSOMI WA SECTOR NYETI KABISA NCHI NYINGI ZINAMHITAJI IKIWEMO USA, IRANI NA NYENGINE ZILIZOENDELEA LKN YUPO TAYARI KUBAKIA NA TZ KUFUNDISHA WATOTO WAMASIKINI KULIKO KWENDA NJE.
    NAWATAKIA CCM KILA LA KHERI BUSARA KAMA HIZO NDIZO TUNAZO ZIHITAJI ILI KUWE NA VIONGOZI WANAHITAJIKA NA WANANCHI NA SIO VIGOGO WA CCM.
    HONGERA BILALI NA KIKWETE.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 12, 2010

  12. AnonymousJuly 12, 2010

  13. AnonymousJuly 13, 2010

    Br. Bilal ndilo chaguo la watu wa Zanzibar, kumleta Bara ni kumtengua nguvu na asiwe chachu ya matakwa ya Wazinzibari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...