Fatima Adadi Rajabu akipozi na nondozzz yake ya BA in International Business aliyokula katika chuo kikuu cha Griffith University college huko Brisbane, Australia.
Mama Aziza Rajabu akifurahi na bintize Saumu (shoto) na Fatima




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2010

    HONGERA, KAMA SIJAKOSEA NILIONA TENA HAPAHAPA BALOZI ADADI RAJAB AKIWA NA MWANAWE KWENYE MAHAFALI UK. HONGERA KWA KUSOMESHA WATOTO ELIMU ZENYE AKILI (UK & AUSTRALIA) NJE YA BONGO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2010

    Hongera sana mdada, inabid nikutafute coz na mimi nachukua hiyohiyo International Business then nataka nirud bongo na sijui pa kuombea kaz

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2010

    hongera sana mamaaa kweli unafanana na babako sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...