Mwanamuzi mkongwe wa muziki wa dansi Ndandaa Kossovo kulia na skwadi lake zima wakitumbuiza katika Fiesta Jipanguse 2010 usiku wa kuamkia leo ndani ya Matongee Club jijini Arusha.
Mashabiki wa A-Taun wakijipangusa na Fiesta 2010
Kundi la Wazushi la A-Taun likipangusa katika Fiesta 2010
Wakiwa kwenye Fiesta Jipanguse 2010 jijini A-Taun toka shoto ni Marry,Meneja Vipipndi wa Clouds FM Sebastian Maganga,Mtangazaji wa kipindi cha Michezo Clouds FM Ibrahim Masoud a.k.a Maestro,Tirra,Kida Waziri pamoja na Sofia Kessy. Picha zaidi BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...